Rose Migiro Kafunikwa na Halima Mdee

Rose Migiro Kafunikwa na Halima Mdee

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
images
VS
images

Rose Asha Migiro na Halima Mdee nani zaidi

Tanzania kama kubahatika na kupendelewa tumefanikiwa lakini tumekuwa watu tusioweza kutumia vema nafasi tunazopata, pengine kutokuwa na utambuzi na ufahamu wa kutosha kwa uwajibikaji wa kujituma katika nafasi tulizopewa na kuelewa uzito stahiki unaotakiwa na jinsi werevu na kujituma kwa hali ya juu katika utendaji unaotakiwa katika kutumika nafasi adimu ambayo kwa ulimwengu mzima ni chanda cha dhahabu kwenye kisahani. Wanaopata heshima na sifa ni kutokana na kujituma si mradi kukalia kiti na kutabasamu.

Kwa miaka karibu mitano nimekuwa nikikodolea macho list ya wanawake bora na maarufu duniani kwa kiwango cha kimataifa, pamoja na Rose Migiro kushika nafasi pekee akiwa kama mwanamke wa kwanza UNO kuparamia kiti hicho, lakini hakubahatika hata kushika nafasi ya 100 kati ya 100 bora. Nilijiuliza na kuishia kukaukiwa cha kuandika na kusubiria nafasi nyingine kwa mwaka unaofuata hadi ilipofikia kutompa nafasi kwa ingwe nyingine.

Halima Mdee, hajashika nafasi pekee serikalini zaidi ya ubunge kutoka kambi ya upinzani, lakini bungeni alivyoonyesha ushupavu usio wa kawaida hadi kuwashikisha adabu viongozi waandamizi serikalini imeleta matumaini mapya hadi kushuhudiwa na dunia ambayo imempa tuzo stahiki, na labda mwanamke kama huyu Mdee angepata nafasi ile adimu na ya pekee katika historia ya wanawake katika Umoja wa Mataifa huenda angeweza kuingia bora 100 kwa miaka aliyokaa Migiro United Nation.

Inawezekana tumezoea kuwavimbisha vichwa wengi wetu bila stahili, na wapatapo nafasi inakuwa basi bora muda ukamilike aende, ni kwa haidhuri tu tumekuwa naye ofisini.


images
images

Ibarahim Lipumba na Tundu Lisu


  • Ibrahim Lipumba ameshatikisa dunia kwa kuitwa kuitumika UNO kitengo cha uchumi kwa mwaka mmoja, huku ni kutambuliwa kimataifa kwa utumishi uliotukuka.
  • Tundu Lisu ameshapata tuzo ya Kimataifa

Matukio kadhaa ambayo yametokea kimataifa na kushuhudiwa kutambulika kimataifa kwa baadhi ya watanzania kutoka vyama vya upinzani ni dira inayoleta matumaini makubwa kwamba hawajapata nafasi, wakiipata hata kuongoza nchi hii mapinduzi makubwa kimaendeleo yatatokea. Kwani kufanya mambo kwa mazoea kuna athari zake.

images

Hapa Tundu Lisu
anajaribu kumpa tuition kidogo Lukuvi.
 
Aisee! Rose Migiro vs Halima Mdee ni sawa na Range Rover vs. Toyota.

Sasa kama ni Halima Mdee vs mkeo, nadhani hii itakuwa Toyota vs San-Lg.

Mwanamke wa kwanza kuwa Deputy General Secretary UN kwa miaka mitano anashindwa hata kuingia kati ya wanawake bora 100, hii pekee inatosha kuletwa taswira yake. Wapi uliona Migiro kukemea jambo baya lolote zaidi ya tindo ya Kikwete?
 
Mwanamke wa kwanza kuwa Deputy General Secretary UN kwa miaka mitano anashindwa hata kuingia kati ya wanawake bora 100, hii pekee inatosha kuletwa taswira yake. Wapi uliona Migiro kukemea jambo baya lolote zaidi ya tindo ya Kikwete?

Hivi kweli kwenye diplomatic career ya Asha-Rose Migiro, huoni mazuri yoyote aliyofanya zaidi ya yale yanayoweza kukuridhisha nafsi yako? Dude you must have some serious problems, na sijui ni vigezo au juhudi gani alivyofanya Halima Mdee ambavyo vinakufanya hadi umuweke juu zaidi ya mkeo.
 
Hivi kweli kwenye diplomatic career ya Asha-Rose Migiro, huoni mazuri yoyote aliyofanya zaidi ya yale yanayoweza kukuridhisha nafsi yako? Dude you must have some serious problems, na sijui ni vigezo au juhudi gani hivyo alivyofanya Halima Mdee hadi umuweke juu zaidi kuliko mkeo.

Kuna vigezo nilivyoviandika, ungejenga utetezi kwa kuleta vigezo vyako vyenye kusheheni utetezi wako juu ya Rose Migiro, hatupo kimipasho ila kwa hoja. Kama ni kufanya mazuri tu hata wewe umefanya mengi lakini hayajafikia kiwango cha kutambulika kimataifa. Lakini Migiro alikuwa katika nafasi ambayo anatazamwa karibu kuweza kufikia kiwango ila ameshindwa.
 
Tukiondoa mapenzi kibubusa na siasa ukweli ni kwamba Asha Migiro alichemsha. Maana kama angefanya kazi vizuri haikuwapo haja ya kumuondoa kwenye unaibu katibu mkuu kabla ya katibu mkuu kumaliza muda wake. Nafasi hii ingetokea zama za Salim Ahmed Salim stori ingekuwa nyingine. Mlitegemea chaguo la bwana dhaifu liwe bora wakati anachagua watu wake kutokana na sababu anazojua mwenyewe? Hata apigiwe debe vipi hawezi kuwa rais wa Tanzania simply because ni mwanamke. Tumejifunza toka kwa Anna Makinda ambaye alitumiwa na mafisadi kumpiga kibuti Samuel Sitta baada ya kuruhusu bunge kuwa bunge badala ya genge la sasa la CCM ukiachia mbali wapinzani kuzidiwa namba.
 
Kuna vigezo nilivyoviandika, ungejenga utetezi kwa kuleta vigezo vyako vyenye kusheheni utetezi wako juu ya Rose Migiro, hatupo kimipasho ila kwa hoja. Kama ni kufanya mazuri tu hata wewe umefanya mengi lakini hayajafikia kiwango cha kutambulika kimataifa. Lakini Migiro alikuwa katika nafasi ambayo anatazamwa karibu kuweza kufikia kiwango ila ameshindwa.

Ok. Kwa hiyo kama nimekuelewa vizuri, kigezo ulichotumia hapo juu kuwalinganisha Asha-Rose Migiro na Halima Mdee ni "kiwango cha kutambulika kimataifa", au siyo?


La ajabu, hujaweka wazi mlinganisho wako wa wahusika hao wawili kutumia kigezo kama hicho, na hitimisho lako linaloendana na kigezo chako, zaidi ya kukiri kwamba Halima Mdee ni zaidi ya mkeo!

Kwa ufupi ujipange upya mkuu! Weka kwanza relevant analysis yako ya wahusika kulingana na vigezo au kigezo ulichoamua kutumia pamoja na ushahidi uliyo nao, ikifuatiwa na conclusion statement husika,siyo kukurupuka tu, sawa?
 
Si unataka tu awe kwenye 100 bora duniani bila hata ya kujua vigezo vinavyotumika kuwapata. basi chukua hayo majina kutoka Forbes Magazine

The Most Powerful Women In Politics

Tatiana Serafin [TABLE="align: left"]
[TR]
[TD][TABLE="class: border07_women, width: 170"]
[TR="class: row07_women"]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: rule07_women"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The Forbes list of the World's Most Powerful Women this year includes 29 women helping to run governments around the world. Though that's flat from 30 in last year's ranking, those who have stayed continue to flex their muscles.
Angela Merkel, the first woman to become chancellor of Germany, ranks No. 1 on our list. She continued to impress the world with her cool leadership at two back-to-back summits. First, she stuck to her principles, getting G-8 leaders to agree to significant cuts in carbon emissions, among other things. She later corralled European Union countries into an agreement on a treaty to replace the E.U. constitution.
Meanwhile, China's vice premier, Wu Yi (No. 2), continues to help lead a government that oversees an economy whose gross domestic product may soon eclipse Germany's, making it the third-biggest economy in the world. Wu recently stared down U.S. Treasury Secretary Henry Paulson over his myriad demands, including a revaluation of the yuan, in recent strategic economic talks with the U.S. China, though, faces enormous challenges, like improving its rickety social, legal and economic infrastructure, and now has to contend with an overheated stock market, unsafe and shoddy products and severe pollution.
The year since we last ran the rankings has seen women making historic advances. Women now make up an all-time high of 17% of parliamentarians worldwide, according to a survey of 189 national parliaments by the Inter-Parliamentary Union, the international organization of parliaments of sovereign states that was established in 1889. The IPU also says overall the number of female heads of government has more than doubled.
France's newly elected conservative president, Nicolas Sarkozy, beat out Ségolène Royal, who ran a lackluster campaign. With a nod toward a 2000 French "gender parity" law obliging parties to field an equal number of men and women candidates, Sarkozy appointed seven women to his 15-member cabinet to help enact his sweeping overhaul of France's social welfare system, including Christine Lagarde (No. 12), minister of finance and economics, and France's former Defense Minister Michèle Aliot-Marie (No. 11), who remains in Sarkozy's cabinet as France's minister of the interior and overseas territories.
In a historic election, Indian lawmakers recently elected for president the handpicked choice of Sonia Gandhi (No. 6), leader of India's most powerful political party, the Indian National Congress Party. Though the position is largely ceremonial, Pratibha Patil, 72, is now India's first female president. The vote, however, saw angry allegations leveled against Patil over purported corruption and criminal activity in her family.
Elsewhere on the Indian subcontinent, another woman may soon return to power. Pakistan's ex-Premier Benazir Bhutto, who was the country's first female leader, is seeking a deal with President Pervez Musharaff that would allow her to return from exile to stand for election without facing arrest.
In the Middle East, Muslim women are also steadily gaining government jobs that affect businesses in the region. Sheikha Lubna Al-Qasimi, minister of the economy in the United Arab Emirates (No. 99), has cracked down on stock market shenanigans with tougher rules, transparency and corporate governance.
In March 2007, the Supreme Judicial Council in Egypt, the country's highest court, chose 31 women to be judges, 30 of whom (one declined her new position for undisclosed reasons) now work at courts around Egypt. Afghanistan's constitution reserves a quarter of its seats in its lower house and 17% in the upper house of its parliament for women--a higher percentage than the number of women now in the U.S. Congress (14%). And two businesswomen in Saudi Arabia won election to the country's chamber of commerce in 2006, according to the Middle East Review of International Affairs.
In the U.S. Congress, though that 14% figure seems small, it represents a record number of women who now serve in the U.S.'s highest legislative body, 74. Democrat Nancy Pelosi (No. 26) is now the first female speaker of the U.S. House of Representatives, and is third in line to the presidency.
Moreover, U.S. Sen. and former first lady Hillary Clinton (No. 25) may make history by winning the Democratic presidential nomination. But will she make history again by winning the presidency? Clinton might have had a better shot at it if she were born in England, Germany, India, Pakistan or Israel. Women who operate in these parliamentary systems of government have had an easier time getting to the top because they are handpicked by their colleagues in their countries' ruling party, not by an entire country of voters in national elections.
Over at the United Nations, Dr. Asha-Rose Migiro of Tanzania took office as deputy secretary-general, becoming the first African woman to assume the No. 2 spot at the international organization. With a broad mandate to expand the voice of the developing world, Migiro has the bona fides, having served as Tanzania's first female foreign minister. Prior to that post, she worked at giving free legal aid to women, children and the poor.
More firsts may be on the way. In Argentina, it's expected that Cristina Fernandez de Kirchner, first lady and senator, will run for president after her husband leaves the job in October. In Guatemala, activist and 1992 Nobel Peace Prize winner Rigoberta Menchu has announced she will form an indigenous political party and run for president. And Ukraine's Yulia Tymoshenko, a former entrant on our Power Women list, is on the comeback trail, aiming to become the first woman to regain her country's prime ministership in this fall's parliamentary elections.


Unaweza kunisaidia labda mada yako ilikuwa ina maana nyingine kwa sababu haya maelezo ni kutoka Forbes Magazine.
 
Ndugu Kandidi Skopu:

Haya mambo ya kulinganisha watu ni upuuzi. Hawa ni watu wawili wenye safari tofauti katika maisha. Na mimi kama mtanzania, dada zangu wa kitanzania wakijaribu katika fani zao najisifu.

So Long,

Z10
 
Tunakuongezea na haya kutoka ukanda wa East Africa ili moyo wako wa mapendo uridhike.


12 most influential women in East Africa
SATURDAY, JUNE 25, 2011 - 00:00
-- BY KABURA GATHEMIA
Women are said to be the backbone of
society. However, while our grandmothers, mothers, sisters, aunts and other
female relatives make a lasting impression on our lives, their influence is
hardly felt beyond the home, community and in rare cases country. Here is a
list of 12 outstanding women, in no particular order, who hail from our region
of Africa, and who are leaving their mark on the world.

1 Dr Asha-Rose Migiro (Tanzania)
Dr
Migiro is from Songea, Tanzania and is 57 years old. She is the Deputy
Secretary-General of the United Nations, a post she has held since 2007. She
was the first woman to hold the ministerial position of Foreign Affairs and International
Cooperation in Tanzania. Before that she was the minister for Community Development,
Gender and Children for five years. She has a masters degree in Law from the
university of Dar-es-Salaam and a doctorate in law from the University of
Konstanz in Germany. She is married and has two daughters.

2 Dambisa Moyo (Zambia)
In
2009, Time Magazine named Dr Dambisa Moyo as one of the world's 100 most
influential people. A young and upcoming economist, Dr Moyo is renowned for her
best-selling book Dead Aid that seeks to explain why aid is not working for
Africa. In a thought-provoking and brilliant manner it suggests better ways to
help Africa rise and stop depending on foreign aid. Dr Moyo was born and raised
in Lusaka, Zambia and holds a doctorate in Economics from Oxford University and
a masters degree from Harvard University's Kennedy School of Government. She
also has an MBA in Finance and a bachelor's degree in Chemistry from American University
in Washington DC. She has previously worked for the World Bank and Goldman
Sachs.

3 Graca Machel-Mandela (Mozambique)
Dame Graca
Simbine Machel is a Mozambican politician and social activist for human rights
especially in the area of children rights. She is the widow of the late
Mozambican president Samora Machel and is now married to Nelson Mandela the
former South African president. She founded the Foundation for Community Development
(FDC) in 1994, which gives grants to civil society groups to assist in the
reconstruction and development of Mozambique. She was also the minister for Education
in Mozambique. Machel was appointed in 1994 by the UN Secretary-General to
produce a UN report on the impact of armed conflict on children and as the
subject had never been studied in depth, her report was ground breaking. She
has received numerous awards such as the 1992 Africa Prize, 1995 Nasen medal,
among many more for her work.
4
Ayaan
Hirsi Ali (Somalia)
Ayaan
Hirsi is a Somali feminist, writer and politician who is the estranged daughter
of the Somali scholar, politician and revolutionary opposition leader Hirsi
Magan Isse. She was elected as a
member of the Dutch House of Representatives, representing the People's Party
for Freedom and Democracy(WD). She was named by Time magazine in 2005 as one of
the 100 most influential people in the world. She wrote the script and provided
the voice-over for Submission, the film produced by the Dutch filmmaker Theo
van Gogh, which criticised the treatment of women in Islamic societies. He was
later murdered by an Islamic fundamentalist who also threatened Ali's life. She
has received numerous awards for her work.

5 Dr
Anna Tibaijuka (Tanzania)
Dr Anna Kajumulo Tibaijuka
is a former Under-Secretary-General of the United Nations and Executive
Director of the United
Nations Human Settlements Programme
(UN-HABITAT). Until her resignation in
2010 to run for political office in Tanzania, she was the second highest
ranking African woman in the UN
System
. Born in Tibaijuka studied Agricultural
Economics
at the Swedish
University of Agricultural Sciences
in Uppsala and is fluent in English, Swahili, Swedish and French. She is the widow of the former Tanzanian ambassador Wilson Tibaijuka
who died in 2000. She is the second highest ranking African woman in the UN
after Dr Asha Rose Migiro, the Deputy UN Secretary General (Who is also a
Tanzanian) In October 2010 she became MP for CCM for Muleba District, Kagera
Region, in the national election.

6
Ory
Okolloh (Kenya)
A
social activist, lawyer and blogger, Ory Okolloh is the policy manager, Africa for
Google. During the 2007-08 post-election violence, she co-founded of Ushahidi
(witness) a website that recorded eyewitness reports of the violence using text
messages and Google Maps. She is also a co-founder of Mzalendo, a website that
tracks the performance of Kenyan members of Parliament. She graduated at the
top of her class with a BA degree in Political Science from the University of
Pittsburgh and with a JD from Harvard Law School. A frequent speaker, she
regularly speaks at conferences such as TED, World Economic Forum, Poptech,
Mobile Web Africa among others on different issues such as citizen journalism. She
lives in Johannesburg, South Africa with her husband and two daughters.

7
Wangari
Maathai (Kenya)
Professor Wangari Muta Maathai is the
founder of the green belt movement, an environmentalist, civil society and
women rights activist, former parliamentarian and the first Kenyan to be
awarded a Nobel Peace Prize. She has written several books and has become a
spokesperson for a number of important initiatives since winning the Nobel
prize in 2004. She was born in Nyeri, Kenya and was the first woman in East and
Central Africa to earn a doctorate degree. She has bachelors and masters
degrees from the US. She pursued her doctoral studies in Germany and the
University of Nairobi where she taught veterinary anatomy. She rose to become
the chair of the Department of Veterinary Anatomy and an associate professor in
1976 and 1977 becoming the first woman to attain both positions in the region.
8
Stella
Kilonzo (Kenya)
Stella
Kilonzo is the Chief Executive of the Capital Markets Authority in Kenya. She
has previously worked in securities market regulation at financial industry
regulatory Authority (FINRA) in Chicago, USA and has also worked at PWC Kenya. She
holds an MBA (Corporate Finance) from Loyola University of Chicago, is a CPA as
well as a first class honours B.Com graduate from the Catholic University of
Eastern Africa. She is youngest person and first woman to hold this position.

9
Alek
Wek (Sudan)
Alek
Wek is a Sudanese British model from the Dinka ethnic group in southern Sudan.
She and some family members fled to Britain to escape the civil war in Sudan
and she was discovered at the age of 18 at an outdoor market in London by a
Models 1 scout. She has had a successful modelling career to date. Her first
appearance was in a music video for Tina Turner before she was signed to Ford
Models in 1996. In 1997 she was named model of the year by MTV and became the
first black model to appear on the cover of Elle. She inspires many African
girls to believe they are beautiful. AleK draws upon her experience as a
refugee to help highlight their plight and is a member of The US Committee for
Refugees' Advisory Council.

10
Liya
Kebede (Ethiopia)
Touted
by American Vogue as a member of the new establishment, Liya Kebede is number
one of the top 50 models. Liya was born and raised in Addis Ababa, Ethiopia. She
later moved to France where she appeared on the cover of the French Vogue. She
has since appeared on the covers of all major fashion magazines. She is a
goodwill ambassador for the WHO and raises awareness of the difficulties women
and children face in the developing world. She was chosen in 2003 to become the
newest face of Estee lauder cosmetics becoming the first woman of colour to
serve as a representative in the brand's 59-year history.
11
Iman
(Somalia)
Iman
was born in Mogadishu, Somalia before attending high school in Egypt. She studied
political science in Kenya where she was discovered at the University of Nairobi.
She is a Somali-American fashion model, actress and entrepreneur who is a
pioneer in the field of ethnic cosmetics. She is also known for her charity
work and is married to musician David Bowie.
12
Tegla
Loroupe (Kenya)
Tegla Chepkite Loroupe
is a long-distance
track
and road
runner, and a global spokeswoman for peace, women's rights, and
education.
Loroupe
holds the world records
for 20, 25 and 30 kilometres
and previously held the world marathon record. She is the three-time World
Half-Marathon champion
. She was the first African woman to win the New York City
Marathon
, which she has won twice. She has won marathons in London, Boston,
Rotterdam, Hong Kong, Berlin, Rome and many of other cities. In 2006, she was
named a United
Nations Ambassador of Sport
. She is an International Sports Ambassador for
the IAAF, the International
Association of Athletics Federations
, and for UNICEF.






 
Huwezi kumlinganisha Dr. Rose Migiro na Halima kwa sasa. Inawezekana labda huifahamu historia ya Dr. Migiro lakini kama unaifahamu, basi unachofanya ni kutomtendea haki Halima Mdee kwa sababu kwa sifa kama hizi anaweza akabweteka na kufikili, she's on top of the world kumbe hakuna lolote.

Sifa kama hizi ambazo hazina mashiko ndizo zinazowaharibu wanasiasa wetu.

Kuna msemo unasema, Bora mwanamme mchawi kuliko mwanamke mchawi.

Mwanamke akimchukia mtu ni nadra sana kuibadilisha hiyo chuki kuwa mapendo.

Ndiyo hiki kinachoonekana hapa.
 
Ndugu Kandidi Skopu:

Haya mambo ya kulinganisha watu ni upuuzi. Hawa ni watu wawili wenye safari tofauti katika maisha. Na mimi kama mtanzania, dada zangu wa kitanzania wakijaribu katika fani zao najisifu.

So Long,

Z10

Hapa kwetu Tanzania ni kitu kisichozoeleka kwa vile tunajenga na kuendesha mambo yetu kimazoea. Wenzetu wanaokazania kupiga hatua kila siku katika utendaji na mafanikio katika maisha, ushindani ndio njia yenye kuwashindanisha na ndivyo maendeleo yanavyokuja. Hili la kufanya kwa mazoea bila ushindani ndiko kunakotufanya kupita kila kona ya dunia kuchekacheka ili tupata mikopo na kesho deni la kutegua nguvu za taifa kiuchumi.
 
[TABLE="width: 0"]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TH="class: digests lhead active asc, bgcolor: transparent"]Rank[/TH]
[TH="class: digests lhead, bgcolor: transparent"]Name[/TH]
[TH="class: digests lhead, bgcolor: transparent"]Age[/TH]
[TH="class: digests lhead, bgcolor: transparent"]Country[/TH]
[TH="class: digests lhead, bgcolor: transparent"]Category[/TH]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]1[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Angela Merkel[/h][h=4]Chancellor, Germany[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]58[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Germany[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: #FFF3D7"]2[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: #FFF3D7"] [h=3]Hillary Clinton[/h][h=4]Secretary of State, United States[/h][/TD]
[TD="bgcolor: #FFF3D7"]65[/TD]
[TD="bgcolor: #FFF3D7"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: #FFF3D7"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]3[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Dilma Rousseff[/h][h=4]President, Brazil[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]65[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Brazil[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]4[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Melinda Gates[/h][h=4]Co-Chair, Bill & Melinda Gates Foundation[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]48[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Humanitarian[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]5[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Jill Abramson[/h][h=4]Executive Editor, New York Times Co.[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]58[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Media[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]6[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Sonia Gandhi[/h][h=4]President, Indian National Congress, India[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]66[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]India[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]7[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Michelle Obama[/h][h=4]First Lady, United States[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]48[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]8[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Christine Lagarde[/h][h=4]Managing Director, International Monetary Fund[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]57[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]France[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Humanitarian[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]9[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Janet Napolitano[/h][h=4]Secretary, Department of Homeland Security, United States[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]55[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]10[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Sheryl Sandberg[/h][h=4]COO, Facebook[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]43[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Technology[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]11[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Oprah Winfrey[/h][h=4]Entrepreneur, Personality[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]58[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Celebrity[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]12[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Indra Nooyi[/h][h=4]Chairman and CEO, PepsiCo[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]57[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Business[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]13[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Irene Rosenfeld[/h][h=4]Chairman and CEO, Kraft Foods[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]59[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Business[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]14[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Lady Gaga[/h][h=4]Musician, Philanthropist[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]26[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Celebrity[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]15[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Virginia Rometty[/h][h=4]President and CEO, IBM[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]55[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Technology[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]16[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Cristina Fernandez de Kirchner[/h][h=4]President, Argentina[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]59[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Argentina[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]17[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Ursula Burns[/h][h=4]Chairman and CEO, Xerox[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]54[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Technology[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]18[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Meg Whitman[/h][h=4]CEO, Hewlett-Packard[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]56[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Technology[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]19[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Aung San Suu Kyi[/h][h=4]Chair and Parliamentarian, National League for Democracy, Burma[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]67[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Burma[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]20[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Maria das Graças Silva Foster[/h][h=4]CEO, Petrobras-Petróleo Brasil[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]59[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Brazil[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Business[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]21[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Marissa Mayer[/h][h=4]CEO, Yahoo[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]37[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Technology[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]22[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Anne Sweeney[/h][h=4]Co-Chair, Disney Media Networks, and President, Disney/ABC Television Group, Walt Disney[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]55[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Media[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]23[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Diane Sawyer[/h][h=4]Anchor of World News, ABC, Walt Disney[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]67[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Media[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]24[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Angela Braly[/h][h=4]CEO, WellPoint[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]51[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Business[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]25[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Susan Wojcicki[/h][h=4]Senior Vice President, Google[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]44[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Technology[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]26[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Queen Elizabeth II[/h][h=4]Monarch, United Kingdom[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]86[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United Kingdom[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]27[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Julia Gillard[/h][h=4]Prime Minister, Australia[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]51[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Australia[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]28[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Nancy Pelosi[/h][h=4]Minority Leader of the House of Representatives, United States[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]72[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]29[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Arianna Huffington[/h][h=4]Editor-In-Chief, Huffington Post Media Group, AOL[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]62[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Media[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]30[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Yingluck Shinawatra[/h][h=4]Prime Minister, Thailand[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]45[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Thailand[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]31[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Kathleen Sebelius[/h][h=4]Secretary, Department of Health and Human Service, United States[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]64[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Politics[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]32[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Beyonce Knowles[/h][h=4]Actress, Entrepreneur, Musician[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]31[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Celebrity[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]33[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Diane Von Furstenberg[/h][h=4]Owner, Fashion Designer, Diane von Furstenberg Studio, L.P.[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]66[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Business[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]34[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Helen Clark[/h][h=4]Administrator, U.N. Development Programme[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]62[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]New Zealand[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Humanitarian[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]35[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Georgina Rinehart[/h][h=4]Executive Chairman, Hancock Prospecting[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]58[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Australia[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Billionaire[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]36[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Amy Pascal[/h][h=4]Co-Chairman, Sony Pictures Entertainment, Sony[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]54[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Media[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]37[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Margaret Chan[/h][h=4]Director-General, World Health Organization[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]65[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]China[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Humanitarian[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]38[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Jennifer Lopez[/h][h=4]Actress, Musician, Personality, Philanthropist[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]43[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Celebrity[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]39[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Sheri McCoy[/h][h=4]CEO, Avon Products[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]54[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Business[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]40[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Shakira[/h][h=4]Musician, Personality, Philanthropist[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]35[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Colombia[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Celebrity[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]41[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Mary Barra[/h][h=4]SVP, Global Product Development, General Motors[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]51[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Business[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]42[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Zhang Xin & family[/h][h=4]Cofounder, CEO, Soho China Ltd.[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]47[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]China[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Business[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]43[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Alice Walton[/h][h=4]Chairman, Crystal Bridges Museum of American Art[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]63[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Billionaire[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]44[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Laura Lang[/h][h=4]CEO, Time Inc., Time Warner[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]57[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Media[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]45[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Angela Ahrendts[/h][h=4]CEO, Burberry Group[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]52[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Business[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]46[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Sue Naegle[/h][h=4]President, HBO Entertainment, Time Warner Cable[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]43[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Media[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]47[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Ellen DeGeneres[/h][h=4]Comedian, Personality, Philanthropist[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]54[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Celebrity[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]48[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Safra Catz[/h][h=4]President, CFO, Oracle[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]51[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Technology[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]49[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Laurene Powell Jobs & family[/h][h=4]Founder and Chair, Emerson Collective[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]49[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Billionaire[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]50[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"] [h=3]Rosalind Brewer[/h][h=4]President and CEO, Sam's Club, Wal-Mart Stores[/h][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]50[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Business[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hapa kwetu Tanzania ni kitu kisichozoeleka kwa vile tunajenga na kuendesha mambo yetu kimazoea. Wenzetu wanaokazania kupiga hatua kila siku katika utendaji na mafanikio katika maisha, ushindani ndio njia yenye kuwashindanisha na ndivyo maendeleo yanavyokuja. Hili la kufanya kwa mazoea bila ushindani ndiko kunakotufanya kupita kila kona ya dunia kuchekacheka ili tupata mikopo na kesho deni la kutegua nguvu za taifa kiuchumi.

Mkuu umechemsha. Hawa ni watu wawili wenye career path tofauti na hawandani kutafuta kazi moja, hivyo sioni sababu ya kuwafanya ulinganishi.

Vilevile kama ni kulinganisha Halima Mdee na Rose Migiro, Tindu Lisu na Lipumba wanafuata nini? Wakati mwingine nina mashaka ni nyie mnajiita Great Thinkers.

Hata kama kitu kama hakijazoeleka Tanzania, haina maana ukilete ukumbini kwa staili ya kuboronga.

So long,

Z10.
 
Mkuu umechemsha. Hawa ni watu wawili wenye career path tofauti na hawandani kutafuta kazi moja, hivyo sioni sababu ya kuwafanya ulinganishi.

Vilevile kama ni kulinganisha Halima Mdee na Rose Migiro, Tindu Lisu na Lipumba wanafuata nini? Wakati mwingine nina mashaka ni nyie mnajiita Great Thinkers.

Hata kama kitu kama hakijazoeleka Tanzania, haina maana ukilete ukumbini kwa staili ya kuboronga.

So long,

Z10.

Zana nzuri ya mtu mstaarabu ni kujaribu kunyosha pasipojitosheleza. Lakini hili la kukandia tu tutabaki na hali hii hii wakati wenyetu wanakazana kutwa kucha kujifua ili kufanya mazuri zaidi. Ulinganifu wa mastaa husaidia kuwafanya wajitutumua kufanya vizuri. Hata wale washindani wa mieleka pamoja na kwamba wataonyeshana umahiri wao kwenye uringo, hutanguliza tambo hizo huwasaidia kuamsha ari.

Haina maana mada niliyoileta imekamilika, itakamilika baada ya michango ya wengi, hadi sasa najifunza mengi ambayo wanayaibua na ndivyo tunavyotakiwa kufanya. Nategemea ulete mengi hapa kuchochea mada kama darasa letu kujifua katika ushindani. Mwenzangu unataka tuishi dunia gani.
 
Zana nzuri ya mtu mstaarabu ni kujaribu kunyosha pasipojitosheleza. Lakini hili la kukandia tu tutabaki na hali hii hii wakati wenyetu wanakazana kutwa kucha kujifua ili kufanya mazuri zaidi. Ulinganifu wa mastaa husaidia kuwafanya wajitutumua kufanya vizuri. Hata wale washindani wa mieleka pamoja na kwamba wataonyeshana umahiri wao kwenye uringo, hutanguliza tambo hizo huwasaidia kuamsha ari.

Haina maana mada niliyoileta imekamilika, itakamilika baada ya michango ya wengi, hadi sasa najifunza mengi ambayo wanayaibua na ndivyo tunavyotakiwa kufanya. Nategemea ulete mengi hapa kuchochea mada kama darasa letu kujifua katika ushindani. Mwenzangu unataka tuishi dunia gani.

First thing first. Mimi sio mstaarabu na vilevile sio great thinker, but I don't afraid to give people a piece of my mind. This thread of yours stinks for the following reasons.

  • Kama unaleta mada akikisha kuwa kichwa cha mada na kile unachotaka kusema vinaendana. Kina Tundu Lisu and Lipumba wamefuata nini?
  • Vilevile akikisha mada yako ni kamili. Michango ya watu haiji kukamilisha mada kwani sio lazima tuchangie.
  • Pia ni lazima ufananishe vitu vinavyofanana, andazi kwa andazi
  • n.k n.k n.k
 
Back
Top Bottom