Hilo tatzo la kuonesha logo tu unaweza ipasua simu asee maana inatia hasiraNi kweli your own risk nili root tenco y6 vzuri na app ya kingroot baadae nikatumia app ya kuchange boot animation cm ikiwa inawaka kwa mara ya kwanza cm ilikua inawaka tu na kuonyesha logo ya tecno basi ilikua haifanyi kitu kingine zaidi ya hiko
Hiyo inaitwa Bootloop.Ni kweli your own risk nili root tenco y6 vzuri na app ya kingroot baadae nikatumia app ya kuchange boot animation cm ikiwa inawaka kwa mara ya kwanza cm ilikua inawaka tu na kuonyesha logo ya tecno basi ilikua haifanyi kitu kingine zaidi ya hiko
Mimi niliwahi kukunbwa na tatizo kama hilo niliuninstall phone/messenger storage simu ikawainaleta ujumbe wa unfortunately alafu network inakata kisha inajirudia kila baada ya sekunde 15 sasa fikiria kama network itakuwa inakata baada ya sekunde 15 kuna simu hapo . ila ilikuja kuponaMi niliroot nikajifanya mtaalamu wa kufuta apk zilizokuja na simu nilikoma maana simu ilikua inafunguka dk nzima halafu ilikua kila mara unapata msg unfortunately not responding
Fanya ku unroot, ukiona shida basi flash tu mazima uanze upyaKila jambo huwa na madhara kwa mara ya kwanza na nadhani hata aliyegundua umeme alipata sekeseke la kupgwa shot au pengine aliuawa kwa umeme.
Habar zenu wana JF, nimeifanyia rooting Vodafone VF685 kwa kufuata proccess zote ila baada ya finishing kuna haya yamejtokeza
1. Home key haifanyi kaz hata nkitumia ya kudownload haifany kazi
2. Lick zote ya pattern na slide haionekan na hata nkitumia ya kudownload haifanyi kazi
3. Google playstore haitingi.
4. Shortcut ya kuscrow down il upate menu nayo haionekani.
Kwa kifupi root at your own risk, mpaka sasa sijapata suluhisho la haya matatizo je is there any alternative!!!!!!
Hata mimi yamenikuta hayo simu inaandika android upgrade hadi leo ipo kabatini mkuu simu yako iliponaje?Ni kweli your own risk nili root tenco y6 vzuri na app ya kingroot baadae nikatumia app ya kuchange boot animation cm ikiwa inawaka kwa mara ya kwanza cm ilikua inawaka tu na kuonyesha logo ya tecno basi ilikua haifanyi kitu kingine zaidi ya hiko
Uliamka asb imepona, uliifanyia maomb au ilkuja kupona vip?Mimi niliwahi kukunbwa na tatizo kama hilo niliuninstall phone/messenger storage simu ikawainaleta ujumbe wa unfortunately alafu network inakata kisha inajirudia kila baada ya sekunde 15 sasa fikiria kama network itakuwa inakata baada ya sekunde 15 kuna simu hapo . ila ilikuja kupona
Umejaribu kwa mobile data?SIM YANGU BAADA YA KUIFLASH IMEKUWA HIVO TUU
SIWEZI LOG IN KWA PLAYSTORE OR GMAIL
MSAADA TAFADHALI, VITU ZINGINE ZIPO OKAY
pole,,,,m kila cm nayonunua lzm niroot,,,,Kila jambo huwa na madhara kwa mara ya kwanza na nadhani hata aliyegundua umeme alipata sekeseke la kupgwa shot au pengine aliuawa kwa umeme.
Habar zenu wana JF, nimeifanyia rooting Vodafone VF685 kwa kufuata proccess zote ila baada ya finishing kuna haya yamejtokeza
1. Home key haifanyi kaz hata nkitumia ya kudownload haifany kazi
2. Lick zote ya pattern na slide haionekan na hata nkitumia ya kudownload haifanyi kazi
3. Google playstore haitingi.
4. Shortcut ya kuscrow down il upate menu nayo haionekani.
Kwa kifupi root at your own risk, mpaka sasa sijapata suluhisho la haya matatizo je is there any alternative!!!!!!
yeah imegoma kabisa coz mwanzo nili root but nili unroot then imegoma kusign in kwa gmail and playstoreUmejaribu kwa mobile data?
Jamaa umeniacha hoiHata demu ni hivo hivo baada ya kubikiriwa anaanza kuitamani bikra yake, wengine wanaweka limao, asali lakini holaaaa