Ronaldo aweka rekodi mpya

Ronaldo kwa sasa ni kituko..
Mashabiki wa soka hawana shukrani, juzi juzi tu hapa ameimbwa sana, leo amekuwa wa kusimangwa
Kila marefu yana ncha, huenda hii World Cup ikiisha CR7 akatundika daruga lakini ni vyema afikishe kwanza magoli 1000.
 
Kila marefu yana ncha, huenda hii World Cup ikiisha CR7 akatundika daruga lakini ni vyema afikishe kwanza magoli 1000.
Akifanya masihara Messi atafikisha 1000 goals kabla yake.
 
Jamaa anaonyesha jinsi alivyo goal machine kwa kufunga kwa penalty.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…