π€£π dah!Wema Sepetu ana mtoto wa kiume
Akumbuke hilo mwamba πππWema Sepetu ana mtoto wa kiume
Yeah kwa umri huo anaweza kuwa babu wa mtoto wangu.Washenzi wanamuita babu
Lamda kwenye ndoto na yenyewe akiamka atakuta godoro limeloa duniani hakuna.Apumzike vipi bila kuchukua world cup?
Watu huko wanapiga kura kama Penaldo atalia tena au hatolia teana round hii na kura nyingi zinasema atalia.Lamda kwenye ndoto na yenyewe akiamka atakuta godoro limeloa duniani hakuna.
Na kutoa ulimi nje kama joka la kibisa.Ronaldo alichobakisha ni kutema mate tu uwanjani.
Wewe ndio unamwangalia MessiTatizo Ronaldo anacheza huku anamwangalia Messi. Atafia uwanjani huyu ajuza.
Dahh π€£Watu huko wanapiga kura kama Penaldo atalia tena au hatolia teana round hii na kura nyingi zinasema atalia.
π€£ππTatizo Ronaldo anacheza huku anamwangalia Messi. Atafia uwanjani huyu ajuza.
πππDah masimango π€£mashabiki wa ureno hawamkubali kabisa basi afike hata nusu fainal basi pia anashindwa
Kmmk ππ