Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 903
- 1,317
Wema Sepetu ana mtoto wa kiumeKibaya zaidi ni kwamba mzee wa “Siuuu” siku hizi anakosa hata shot on target moja
Yeah ni kweli migo.Cr7 bado ni legend kaa kwa kutulia
Hata Ronaldo anaye.Wema Sepetu ana mtoto wa kiume
Apumzike vipi bila kuchukua world cup?Ifike mahali apumzike soka la kimataifa ili kulinda hadhi yake
AmigaYeah ni kweli migo.
Amiga yupi huyoAmiga
KAWIA UFIKE 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥Wema Sepetu ana mtoto wa kiume
Nimeongea ki Portuguese hapo ni rafiki maana yake, au unaweza sema amigoAmiga yupi huyo
Bado umri unaruhusu..Ifike mahali apumzike soka la kimataifa ili kulinda hadhi yake
Scripted na nani?iko scripted jamaa anabeba wc hii
Sasa amiga si wa kike 😃Nimeongea ki Portuguese hapo ni rafiki maana yake, au unaweza sema amigo
Atafia uwanjaniBado umri unaruhusu..
Sorry amigo 🤣Sasa amiga si wa kike 😃
Ila migo ni kifupi chake.Sorry amigo 🤣
Yes mkuuIla migo ni kifupi chake.