Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,342
- 33,171
Mkuu, ebu usiniaibishe tafadhali.....sasa huo uma anakuwa anachomea harage mojamoja au?
mie hapo nanyanyua sahani nayafyonza yoteMkuu, ebu usiniaibishe tafadhali.....
Hapo kuna kisu, kijiko na uma aiseeee
Ukiya fyonza yote utakuwa ni Mroho sio Mlafi....mie hapo nanyanyua sahani nayafyonza yote
sasa huo uma anakuwa anachomea harage mojamoja au?