Mohamed Ibrahim
Member
- Jan 21, 2012
- 49
- 8
Anagombew kwa kuwa analo jipya kwa wana bumbuli na anaona atalitekeleza au anataka kulipiza kisasi cha Mzee kuchapwa.....
Mrema temeke kwaoAsithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao
6. Pendo Kundya sio campaign manager mtarajiwa wa Baraka....
Alikuwa ni bibi yake Baraka kipindi fulani na huyo binti alitegemea PISHI angepeleka posa KUMBE BARAKA kama kawaida ni mtu kutazama interests zake...sasa huu uvumi umetokea kule kwenye baa ya ma pedeshee wa mujini kule Mikocheni na ulianzishwa na mmoja kati ya jamaa aliyekuwa na ukaribu na Baraka mpaka pale baraka alipofungua saluni yake na kumpora staff.Mkuu,
Huyu Kundya unayemzungumzia ana nasaba yeyote na yule Katibu wa zamani wa Bakwata..Alhajj Rajabu Kundya..Nimeshindwa pia kuelewa ameingia ingia vipi kwenye hii mada.
Inaoneka pia mboga na matunda huko vinawasaidia,they look younger, inabidi tumjengee PInda nyumba huko pia..lolOne think is for sure watu wa BUMBULI (january na Pishi) kwa viwalo tuu mnakubalika wasambaa nyie
Asithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao
Asithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao
Hakuna haja ya jazba......wewe huwajui watu wa kule kwa hiyo tulia......nashukuru kunipa wadhifa wa baba yako wa kapuku
Mkuu we unatokea Misungwi sehemu gani? Ka vp 2015 tutakutanaYaani mtu akionyesha nia tu ..................... apate ukuu wa wilaya!!! Ok na mimi nataka nirudi kwetu Misungwi nikagombee 2015..... la sivyo wanipe ukuu wa wilaya!! Au kwa vile yeye ni mtoto wa kigogo siyo!!
Alikuwa ni bibi yake Baraka kipindi fulani na huyo binti alitegemea PISHI angepeleka posa KUMBE BARAKA kama kawaida ni mtu kutazama interests zake...sasa huu uvumi umetokea kule kwenye baa ya ma pedeshee wa mujini kule Mikocheni na ulianzishwa na mmoja kati ya jamaa aliyekuwa na ukaribu na Baraka mpaka pale baraka alipofungua saluni yake na kumpora staff.
kujibu swali lako ndiye huyo huyo Pendo mtoto wa Al Hajj Kundya (inasemekana huyu pendo na uislam wenyewe aliacha kipindi fulani ili aolewe na pishi)
Hivyo si kweli kuwa pendo ndiye kampaign manager kwa sababu intellectually she is inferior kwenye mambo hayo na mengineyo so hili halina ukweli wowote ule
huyu RBS alimuacha mataa baada ya kumdanganya wakatoka wote UK eti atamuoa TZ. RBS akawa anatotoza watoto na mtoto wa mjomba wake USA akienda likizo.
Pendo sasa ameolewa na mumewe na she is happy. Ndoa njema binti
wanasema its his constitutional rightPumbaf kabisa. watanzania na kura zao ndo mtaji. siasa siasa! kwanini asitumie usomi wake kwenye fani yake? mwingine anashauri apewe ukuu wa wilaya pumbaaf kabisa. akishapewa nini kinafuata. hawa vijana knowz nothing about real life. wanafikiria uheshimiwa tu. pumbaaf sana.
Mkuu,kilichonifurahisha ni kuwa umetunga habari yako,kisha ukaijadili mwenyewe halafu ukatoa na ushauri. Sasa unataka sisi tutoe comments!
OK. Riwaya yako ni nzuri ila si kivile. Usingeweza pata Oscar award kama ingekuwa Holywood. Good try thou