Ronald Baraka Shelukindo: Nitalichukua jimbo la Bumbuli 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ronald Baraka Shelukindo: Nitalichukua jimbo la Bumbuli 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J4MAYOKA, Jan 27, 2012.

 1. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Mtoto wa aliyekuwa mbunge wa Bumbuli Bwana Shekukindo yuko kwenye hatua za awali za kujiandaa kulichukua jimbo hilo kwenye uchaguzi ujao wa 2015

  Ronald Baraka Shelukindo ambaye ni maarufu kama afisa mwandamizi wa DSTV amesema kuwa anayo nia, uwezo na pia mitazamo mibadala kwa ajili ya jimbu hili.

  Tatizo kubwa ambalo wachunguzi wa masuala ya siasa za Bumbuli wanasema linaweza kumkabili Ndugu Baraka ni kutojulikana jimboni ambako kijana January amejizatiti vilivyo kwenye ngazi zote.

  Lakini hilo linaonekana haliwezi kumtatiza huyu kijana msomi na mcheshi bwana Baraka kwani tayari kashaanza michakato ya kuandaa mpago kambambe wa kuliendeleza jimbo la Bumbuli

  Kwa maoni yangu nadhani vizuri kujitokeza lakini ninachouliza kama January anafanya kazi nzuri kwa nini Baraka Shelukindo asipewe ukuu wa wilaya ili wafanye kazi kama timu ya pamoja?

  Imagine Baraka Shelukindo + January Makamba for Bumbuli

  hamuoni kama ni dream team na wakaaachana na siasa za bufu za wazee wao?
   

  Attached Files:

 2. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Kikatiba, Ronald ana haki ya kuwania Jimbo hilo kama alivyokuwa na haki Mbunge wa Sasa, whether mbunge wa sasa ana perform vizuri or not. Vinginevyo hizo sio siasa zetu watu nje ya Bumbuli, bali ni za wagombea hao wawili na wapiga kura wao huko Bumbuli.
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Asithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao
   
 4. T

  TOWASHI JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu,kilichonifurahisha ni kuwa umetunga habari yako,kisha ukaijadili mwenyewe halafu ukatoa na ushauri. Sasa unataka sisi tutoe comments!
  OK. Riwaya yako ni nzuri ila si kivile. Usingeweza pata Oscar award kama ingekuwa Holywood. Good try thou
   
 5. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,031
  Trophy Points: 280
  akiwa mtoto wa baba wa kufukia? we kapuku kweli ina maana we umejiridhia na jinsi Makamba alivyolichukua hilo jimbo kupitia mgongo wa babake Katibu Mkuu? uache demokrasia ichukue mkondo wake na kalaghabao kwa wale watakaomnyima kura kwa sababu ni mtoto wa kufukia
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Hakuna haja ya jazba......wewe huwajui watu wa kule kwa hiyo tulia......nashukuru kunipa wadhifa wa baba yako wa kapuku
   
 7. HNIC

  HNIC JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 1,485
  Trophy Points: 280
  Kwanza si raia wa Tanzania kama alivyo NAMBUA MLAKI
  atagombea vipi ubunge ?

  unless TZ inayo dual nationality na anaruhusiwa kugombea ununge

  mimi nafurahi kuona vijana wanagombea
   
 8. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Kwa chama gani...?? maana nahis mtoa mada kama ndo yeye ronald..
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Shelukindo Junior,

  fanya hima kwenda kuwapelekea wana-Bumbuli Baraka na za Mzee mwenyewe baada ya wananchi kuchakachuliwa na CCM kuwaletea mbunge mpya wa kwenye SKYPE kwa jina la Januari Makamba anayekopa dola kushoto kulia kwa jina lao bila maendeleo ya kuonekana.

  Big up Baraka, vijana tunaendelea kukusoma kama unaweza ukamrada mzee wako kwa uongozi wenye maadili ndani yake; jambo ambalo siku hizi ni bidhaa adimu kwa viongozi wetu wa kileo kujifikiria matumbo yao wenyewe bila kujali umma wa Tanzania.


   
 10. k

  kuzou JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hivi kumbe majimbo ni mali ya watu yanachukuliwa tu mtu akitaka duh
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Huyu Bwana mdogo alisoma Ilboru huyu na akina taji Liundi.

  Hongera bwana mdogo
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Kwa maoni yangu nadhani vizuri kujitokeza lakini ninachouliza kama January anafanya kazi nzuri kwa nini Baraka Shelukindo asipewe ukuu wa wilaya ili wafanye kazi kama timu ya pamoja?

  Sijui unafikiria apewe ukuu wa wilaya kipindi gani, sababu 2015 ndio kikomo cha vyeo hivi katika ardhi hii, vitaondoka na CCM yao
   
 13. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kama kuna ukweli hapa basi ni Deja Vu.....After Kim Jong Il comes Kim Jong Un.
   
 14. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,082
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Ushauri katika riwaya yake ni kwanini fulani asipewe ukuu wa wilaya? Kweli ukuu wa wilaya umeshuka thamani kiasi hiki.
   
 15. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hahaha I love JF
   
 16. d

  davidie JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAMARADERIE UNAUHAKIKA HUYO NI BABA YAKO MZAZI? MAMA TU NDIO MWENYE UHAKIKA WA KUITWA MAMA MZAZI LAKINI MABABA Mmmmmmm!!!
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwenye wekundu hapo! Unataka watu wagawane vyeo. Wacha wapambane. Nakumbuka William alimshinda Yusuf sasa kama Baraka atamshinda January itakuwa ngoma draw. Bumbuli patamu hapo vijana waonyeshane weredi kwa maendeleo ya Wanabumbuli
   
 18. gollocko

  gollocko JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 2,830
  Likes Received: 1,544
  Trophy Points: 280
  Anataka kugombea kwa tiketi ya chama gani? maana kuna vyama hata akipata ubunge hakuna atakalobadilisha1
   
 19. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Tunahitaji majina mapya sasa sio hao wanakuja na ma sir Name
   
 20. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Leo hamtakutana pale British Council? Angalieni msije mkamwagana damu!
   
Loading...