Ronald Baraka Shelukindo: Nitalichukua jimbo la Bumbuli 2015

Haya mambo matatu inabidi hayatolee ufafanuzi kwanza:
1)Uraia
2)Vyeti
3)nyama ya hamu
La sivyo itakuwa January atakuwa kama anamsukuma mlevi

1. Uraia ni Mtanzania -- anaruhusa ya kuishi Uingereza kama Januari USA na Mdogo Januari USA na wao walifanya kwa kuoa Wamarekani na kwaacha -- na ni against the Law in USA

2. Baraka kasoma hapa mpaka form six Illboru akaenda Chuo kikuu nje kama january makamba

​
 
wanafikiri familia zao zipo kwa ajili ya umiliki wa jimbo hilo, safari hii tutamuibua mtoto wa mkulima, ubunge sio ufalme kurithishana, wasitufanye sisi mabwege.
 
Jimbo hilo ni jipya na lilitengenezwa na Mzee Mwinyi kwa Shelukindo - Mzee Mwinyi akiondoka Shelukindo apate pahali pa kula - sio Mlaji kama hao viongozi wengine... hao viongozi wengine wanatafuna hadi chuma... na kuugua wanaachia vimada

Mzee Shelukindo alikuwa Katibu Kiongozi aliona katibu kiongozi wa Nyerere alivyoishia Mzee Timothy Apiyo anatisha kwa Umasikini --- Unaangalia Waliomfuata Shelukindo wote ni wazito angalia chini picha ya Apiyo anavyoishi kwahiyo Mwinyi akampa jimbo ili apate kuishi vizuri Ubunge hauna mda wa kustaafu sasa Mtoto wa Makamba anakuja anachukua kwa madoido na ulevi

408832_3200051039402_1209820481_33478317_1609957615_n.jpg

Aliyo kaa chini ni Timothy Apiyo na watoto na wajukuu zake angalia hana viatu
 
1. Uraia ni Mtanzania -- anaruhusa ya kuishi Uingereza kama Januari USA na Mdogo Januari USA na wao walifanya kwa kuoa Wamarekani na kwaacha -- na ni against the Law in USA

2. Baraka kasoma hapa mpaka form six Illboru akaenda Chuo kikuu nje kama january makamba

​

1. Baraka ana uraia wa UK

2. Kazaa na dada yake (watoto 3)...inawezekana hii kwa wasambaa inakubalika

3. January hana uaraia wa USA ( japo mkewe ni Mtanzania/Mchagga)

4. Baraka kweli kasoma Tanzania lakini ukweli ni kuwa hana degree ya ukweli ( ni kama Kafulila, Nchimbi na wengine wenye degrees feki)

5. Baraka ile kazi DSTV kapata kwa sababu ni mchapakazi na hana sifa za kudhulumu watu

6. Pendo Kundya sio campaign manager mtarajiwa wa Baraka....

7. January bado hawezekaniki na sidhani kama Baraka atamweza January kwenye kampeni

8. Baraka ni streetwise kuliko January so wazee wa CCM pale Soni wanaweza kumpenda zaidi lakini bila pesa mambo hayaendi
 
Jimbo hilo ni jipya na lilitengenezwa na Mzee Mwinyi kwa Shelukindo - Mzee Mwinyi akiondoka Shelukindo apate pahali pa kula - sio Mlaji kama hao viongozi wengine... hao viongozi wengine wanatafuna hadi chuma... na kuugua wanaachia vimada

Mzee Shelukindo alikuwa Katibu Kiongozi aliona katibu kiongozi wa Nyerere alivyoishia Mzee Timothy Apiyo anatisha kwa Umasikini --- Unaangalia Waliomfuata Shelukindo wote ni wazito angalia chini picha ya Apiyo anavyoishi kwahiyo Mwinyi akampa jimbo ili apate kuishi vizuri Ubunge hauna mda wa kustaafu sasa Mtoto wa Makamba anakuja anachukua kwa madoido na ulevi

408832_3200051039402_1209820481_33478317_1609957615_n.jpg

Aliyo kaa chini ni Timothy Apiyo na watoto na wajukuu zake angalia hana viatu
Hivi huyu mzee si alifia South Africa au?

sasa nishajua kwa nini Luhanjo alikuwa anawapa watu wake kazi left and right.....pole sana familia ya mzee Apiyo...
 
Baraka Shelukindo amezaa watoto wawili wa kiume na binamu yake K.

watoto walizaliwa marekani mdada huyo alipoenda baada ya kukaa uingereza miaka mingi no pepa hivyo akaenda marekani, pepa nako ikakataa sasa amerudi bongo kukaa na binamu yake na watoto wao.

Mie hii ya kuwa ni mtoto wa nje duh... embu elezeni vizuri jamani ila wadogo wake wote wa mzee Shelukindo na mama yao sio weupe kama yeye.

Duh kumbe Albert wa nje pia...wow

Mtu akitaka kuwa wa public basi lazima ajue siri hizi ni kawaida kutoka.

baba yake ccm, january ccm hawa wanataka kufa udogoni maana juju lazima zitembee hapa as wazee wa bumbuli watachanganyikiwa wapi waunge mkono
 
2015 bado lakini naona watu washaanza kuwa pre empt wenzao na JF ndio kama platform yenyewe

humpendi mtu wee njoo JF unakipaa weeee kisha huyoooo

Namwonea huruma Lazaro Nyalandu
 
1. Baraka ana uraia wa UK

2. Kazaa na dada yake (watoto 3)...inawezekana hii kwa wasambaa inakubalika

3. January hana uaraia wa USA ( japo mkewe ni Mtanzania/Mchagga)

4. Baraka kweli kasoma Tanzania lakini ukweli ni kuwa hana degree ya ukweli ( ni kama Kafulila, Nchimbi na wengine wenye degrees feki)

5. Baraka ile kazi DSTV kapata kwa sababu ni mchapakazi na hana sifa za kudhulumu watu

6. Pendo Kundya sio campaign manager mtarajiwa wa Baraka....

7. January bado hawezekaniki na sidhani kama Baraka atamweza January kwenye kampeni

8. Baraka ni streetwise kuliko January so wazee wa CCM pale Soni wanaweza kumpenda zaidi lakini bila pesa mambo hayaendi
haikubaliki,
 
Hajafa Mkuu, bado mzima ingawa anasumbuliwa na afya na uzee kwa ujumla.

Kutokuvaa viatu ni kupenda tu ila si kuwa hana viatu. Inaweza tu kuwa miguu ambayo huwa inamsumbua, ilikuwa haitaki siku hiyo viatu kuvaliwa na au alikuwa ndani kwenye zulia na wakatoka tu nje kupiga picha.

Ana mjuu wake aitwaye Timoth Apiyo, ambaye ni Mhandisi sasa, nina uhakika yeye pekee angeliweza kumnunulia viatu vya bei mbaya kama angelihitaji. Ila miguu ndiyo inaleta shida.
Hivi huyu mzee si alifia South Africa au?

sasa nishajua kwa nini Luhanjo alikuwa anawapa watu wake kazi left and right.....pole sana familia ya mzee Apiyo...
 
Sasa wewe bwana mdogo kama UTALICHUKUA Jimbo la Bumbuli sie wa JF unatuambia ili iwe nini? Yaani UNATUCHEFUA! Mwadhani UTAWALA ni kurithishana? Si mpigane nyie na Makamba? Mie naona hapa UNATUZINGUA tu! Mnawaza kuTAWALA tu! Sasa hata nusu ya muda wa Mbunge aliyepo haujaisha unawaza kumwondoa, Tanzania tunaelekea wapi? ACHENI HIZO!
 
Kwanza si raia wa Tanzania kama alivyo NAMBUA MLAKI
atagombea vipi ubunge ?

unless TZ inayo dual nationality na anaruhusiwa kugombea ununge

mimi nafurahi kuona vijana wanagombea

sio raia kama Nambua Mlaki? Una uhakika na hao usemayo kuhusu Nambua? Au unaishi kwa story za mtaani tu?
 
Baraka Shelukindo amezaa watoto wawili wa kiume na binamu yake K.

watoto walizaliwa marekani mdada huyo alipoenda baada ya kukaa uingereza miaka mingi no pepa hivyo akaenda marekani, pepa

nako ikakataa sasa amerudi bongo kukaa na binamu yake na watoto wao.

Mie hii ya kuwa ni mtoto wa nje duh... embu elezeni vizuri jamani ila wadogo wake wote wa mzee Shelukindo na mama yao sio weupe kama yeye.

Duh kumbe Albert wa nje pia...wow

Mtu akitaka kuwa wa public basi lazima ajue siri hizi ni kawaida kutoka.

baba yake ccm, january ccm hawa wanataka kufa udogoni maana juju lazima zitembee hapa as wazee wa bumbuli watachanganyikiwa wapi waunge mkono
Banana yake alikuwa mgiriki kwenye mashamba ya tumbaku iringa.
Mama yake alikuwa mnyalu,se kayugwa.
 
1. Baraka ana uraia wa UK

2. Kazaa na dada yake (watoto 3)...inawezekana hii kwa wasambaa inakubalika

3. January hana uaraia wa USA ( japo mkewe ni Mtanzania/Mchagga)

4. Baraka kweli kasoma Tanzania lakini ukweli ni kuwa hana degree ya ukweli ( ni kama Kafulila, Nchimbi na wengine wenye degrees feki)

5. Baraka ile kazi DSTV kapata kwa sababu ni mchapakazi na hana sifa za kudhulumu watu

6. Pendo Kundya sio campaign manager mtarajiwa wa Baraka....

7. January bado hawezekaniki na sidhani kama Baraka atamweza January kwenye kampeni

8. Baraka ni streetwise kuliko January so wazee wa CCM pale Soni wanaweza kumpenda zaidi lakini bila pesa mambo hayaendi

1. Oh yeah Januari kaoa Mchagga wao wanauraia huku; lakini yeye kabla ya hapo alitafuta makaratasi ili akae US ufanya Masters Pale DC shule yake ya Bachelors haikuwa DC kwahiyo alikuwa muda kidogo nje ya shule na status

2. Baraka ana watoto 2 na sio 3

3. Kwa sasa Januari hana kibali cha kuja USA

4. Tulisoma na College Pamoja London sasa wewe unasemaje ilikuwa ya kina Kafulila?

5. Utaona Kampeni January hakufanya alifanyiwa na wanafunzi na kuwapa posho
 
Banana yake alikuwa mgiriki kwenye mashamba ya tumbaku iringa.
Mama yake alikuwa mnyalu,se kayugwa.

Albert Shelukindo ni mtoto wa Mdogo wake Mzee Shelukindo walikuwa wanaishi Msumbiji muda mrefu sana; kaka yake anafanya kazi Kiwanda cha Bia Dar::: SIO MTOTO wa Mzee MBUNGE
 
Asithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao

Mkuu lazima unameza RV maana uko pointless kabisa. Binadamu akiwa wa kufikia ana mapungufu gani?
 
Jimbo hilo ni jipya na lilitengenezwa na Mzee Mwinyi kwa Shelukindo - Mzee Mwinyi akiondoka Shelukindo apate pahali pa kula - sio Mlaji kama hao viongozi wengine... hao viongozi wengine wanatafuna hadi chuma... na kuugua wanaachia vimada

Mzee Shelukindo alikuwa Katibu Kiongozi aliona katibu kiongozi wa Nyerere alivyoishia Mzee Timothy Apiyo anatisha kwa Umasikini --- Unaangalia Waliomfuata Shelukindo wote ni wazito angalia chini picha ya Apiyo anavyoishi kwahiyo Mwinyi akampa jimbo ili apate kuishi vizuri Ubunge hauna mda wa kustaafu sasa Mtoto wa Makamba anakuja anachukua kwa madoido na ulevi

408832_3200051039402_1209820481_33478317_1609957615_n.jpg

Aliyo kaa chini ni Timothy Apiyo na watoto na wajukuu zake angalia hana viatu

Shellukindo alikuwa Katibu Kiongozi? Wapi huko?
 
Back
Top Bottom