Ronald Baraka Shelukindo: Nitalichukua jimbo la Bumbuli 2015

naona dogo anatafuta maoni hapa. baba yako alikuwa mbunge na wewe unautaka. huu utakuwa usultan. kwani huko bumbuli hakuna watu wengine wanaoweza kuongoza? anyway ni haki yako kikatiba lakini ushukuru mungu mi sio mwana bumbuli kwani kura yangu usingepata. finito.
 
kwani babako akiwa mbunge lazima uwe mbunge?? siasa za africa bana zinazuka from nowhere
 
tunakaribia kushuhudia emergence ya dynasties katika siasa za bonGo... kila la kheri though, kwani kugombea ubunge ni haki ya kila raia
 
attachment.php

Mtoto wa aliyekuwa mbunge wa Bumbuli Bwana Shekukindo yuko kwenye hatua za awali za kujiandaa kulichukua jimbo hilo kwenye uchaguzi ujao wa 2015

Ronald Baraka Shelukindo ambaye ni maarufu kama afisa mwandamizi wa DSTV amesema kuwa anayo nia, uwezo na pia mitazamo mibadala kwa ajili ya jimbu hili.

Tatizo kubwa ambalo wachunguzi wa masuala ya siasa za Bumbuli wanasema linaweza kumkabili Ndugu Baraka ni kutojulikana jimboni ambako kijana January amejizatiti vilivyo kwenye ngazi zote.

Lakini hilo linaonekana haliwezi kumtatiza huyu kijana msomi na mcheshi bwana Baraka kwani tayari kashaanza michakato ya kuandaa mpago kambambe wa kuliendeleza jimbo la Bumbuli

Kwa maoni yangu nadhani vizuri kujitokeza lakini ninachouliza kama January anafanya kazi nzuri kwa nini Baraka Shelukindo asipewe ukuu wa wilaya ili wafanye kazi kama timu ya pamoja?

Imagine Baraka Shelukindo + January Makamba for Bumbuli

hamuoni kama ni dream team na wakaaachana na siasa za bufu za wazee wao?

Yaani mtu akionyesha nia tu ..................... apate ukuu wa wilaya!!! Ok na mimi nataka nirudi kwetu Misungwi nikagombee 2015..... la sivyo wanipe ukuu wa wilaya!! Au kwa vile yeye ni mtoto wa kigogo siyo!!
 
Haya mambo matatu inabidi hayatolee ufafanuzi kwanza:
1)Uraia
2)Vyeti
3)nyama ya hamu
La sivyo itakuwa January atakuwa kama anamsukuma mlevi
 
Huyu Bwana mdogo alisoma Ilboru huyu na akina taji Liundi.

Hongera bwana mdogo

Barubaru,

Hivi skuli za Zenji ni kwa ajili ya watoto wa masikini? maana watoto wa wakubwa wote wanasoma bara, sijui walijua hilo?
 
Haya mambo matatu inabidi hayatolee ufafanuzi kwanza:
1)Uraia
2)Vyeti
3)nyama ya hamu
La sivyo itakuwa January atakuwa kama anamsukuma mlevi
Funguka,mwaga ugali tu mwage mboga
 
Asithubutu.....atachafuka sana......kwanza sio mtoto wa Mzee Shelukindo......ni baba wa kufikia......kwa hiyo kule sio kwao
Sasa kama ni mtoto wa kufikia yeye sio Mtanzania? Acheni kufilisika kifikra kama Mwl. Nyerere alivyosema... as long as one of your parent is your Tanzanian inatosha kugombea Ubunge
 
Back
Top Bottom