1. Uraia ni Mtanzania -- anaruhusa ya kuishi Uingereza kama Januari USA na Mdogo Januari USA na wao walifanya kwa kuoa Wamarekani na kwaacha -- na ni against the Law in USA
2. Baraka kasoma hapa mpaka form six Illboru akaenda Chuo kikuu nje kama january makamba
Barubaru, unakumbuka kwa Loning'o na kishuu
Huyu Bwana mdogo alisoma Ilboru huyu na akina taji Liundi.
Hongera bwana mdogo
nadhani tatizo watu wanashindwa kutambua kwamba Ilboru prior to 1994 wasn't special kwa hivyo sio wote walikuwa vipanga to be honest uwezo wa Baraka ki siasa nina wasi wasi nao sana tena sana tuu.Of all the people..hata wewe una maneno ya rejareja kama haya!
Kusoma Ilboru na Taji, mara bwana mdogo..... ni ............??? Au na wewe ni bwana mdogo??
Relevancy to the issue plssss!!
Huyu Bwana mdogo alisoma Ilboru huyu na akina taji Liundi.
Hongera bwana mdogo
Ni kweli ni mcheshi alimaliza pale Ilboru mwaka 1991 alikuwa darasa moja na Joseph Mpuya, Walter Chipeta na Taji Liundi. Alisoma "combination" ya HGL.
Baraka alimaliza lini Form Six Ilboru?
Binafsi sioni kwanini Baraka aende kushindana na kijana mwenzake kule wakati ana nafasi ya kufanya mengine mengi tu katika jamii. Lakini kama akiamua, hii ni haki yake kikatiba, and dont under estimate mtu huyu, ana kichwa kizuri sana, anakaa vizuri sana na watu, na ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza, na pia ni mzuri sana kwenye issue ya PR. Hii aina maana kwamba January sio mzuri, kwani tunaona uwezo wake mkubwa katika nafasi zake za sasa. January ni hazina kwa taifa hili kama kina Mnyika, Zitto, Shilinde, Halima Mdee, Lissu na wengine wengi tu, na nina uhakika hazina hii itaongezeka zaidi katika uchaguzi mkuu ujao ambapo bila shaka vijana wengi kutoka vyama mbalimbali wataenda kutumia haki zao za kikatiba kuomba ridhaa ya wananchi, kwa lengo la kuikomboa nchi hii ambayo ipo vipande vipande.
Hivyo sio kweli baba yake alikuwa Mkristo na Ronald ni jina alilopewa na Baba yake aliyekuwa Mkristo kabla ya mama yake hajaolewa tena na Shelukindo na Baraka likikuwa ni Middle name lakeJina lake halisi ni Mubarak kayugwa .kayugwa si jina la baba yake ni upande wa mama yake.alibadilisha jina na dini mama yake alipo olewa na shelukindo.ana dada mmoja anaitwa bora na si baba mmoja.na aliye zaa naye anaitwa kurwa kayugwa.
Hiyo ya kubadili dini tayari kashaniboaHivyo sio kweli baba yake alikuwa Mkristo na Ronald ni jina alilopewa na Baba yake aliyekuwa Mkristo kabla ya mama yake hajaolewa tena na Shelukindo na Baraka likikuwa ni Middle name lake
Nimekula sana wali mchicha pale kwa Loning'o kila walipopika "chui" pale kwa Bino! Ha ha haaa...!!!!!