Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 11,741
- 36,147
Umetisha Mama la Mamaa, sisi Wazee kazi yetu ni kutulia zetu kwenye Mkeka huku tumefunga Msuli wakati tukipeluzi Ubuyu wa moto moto kutoka kwa the Queen herself Nifah 🤗Unakumbuka nilikuahidi? Ndio natekeleza kwa vitendo sasa.
Nikileta ubuyu sasa hivi ni exclusive tu, huwezi kuupata kokote!