romantic words

Ahaa kwan hujawah kuwaona enhee? Matendo yako ni yale ya Mapendooo Daimaa
[emoji23][emoji23][emoji23] ahsante kwa kunitafutia jina zuri, hivi katekista kumbe anaweza kuwa hata mwanamke?
 
'katika wajinga wote wewe ndio nimekuona mwenye akili,nakupenda sana'
 
Hahaha.

Naona wewe huwa unatanguliza muamala kisha unauchuna.

Hadi wanakusifia kwa comment pale juu. Ama kweli ukichelewa nyakati nazo zinakuacha.
Ha ha ha ha mzee miamala haina mbabe itangulize tu utasikia unaambiwa....

" why unanifanyia hvi hujui naumia usirudie tena siku nyengne love u bebiboo"

Hapo shuhuli ishaishaa
 
Hapo upo kitandani unamwambia Bae unasubiri afanye nini? Achomeke?

Namaanisha chaja kwenye cable lakini.

Watoto wa kitanga mpo romantic.


joanah sijakuona hapa.

Hahahah akichomeka huku anaongea ni hatari ujue?
Bora achomoe kwanza afanye mambo mengine halafu achomeke

Ila hata mimi niko romantic ujue japo sijatokea Tanga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…