maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,121
- 4,855
Hapo upo kitandani unamwambia Bae unasubiri afanye nini? Achoke?
Namaanisha chaja kwenye cable lakini.
Yaani wewe, umejuaje lakini?6GS5168BOE7 Imethibitishwa. Tsh100,000.00 imetumwa kwenye namba 07....... tarehe 01/3/19 saa 4:40 PM. salio lako
Huu ndio msamaha wa ukwel.....
Hayo maneno tunawaachia watoto wa shule umri huu nitafute romantic words kwel??Yaani wewe, umejuaje lakini?
Eti jamani, wakati akaunti zipoHayo maneno tunawaachia watoto wa shule umri huu nitafute romantic words kwel??
Eti jamani, wakati akaunti zipo
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi hili jina la katekista umelitoa wapi jamaniUmeona enhee Katekista una akil sana
Sema kweeli aki6GS5168BOE7 Imethibitishwa. Tsh100,000.00 imetumwa kwenye namba 07....... tarehe 01/3/19 saa 4:40 PM. salio lako
Huu ndio msamaha wa ukwel.....
Mzee upo?Ha ha ha ha Mzee muhun sana ww
Oouh...nikajua mengine mie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubiri hizo romantic words nikopi ni mpastie na yeye
Nakutania bana wewe tena hutaniw jamanSema kweeli aki
Ha ha ha linakupendeza sana ujue[emoji23][emoji23][emoji23] hivi hili jina la katekista umelitoa wapi jamani
Ha ha ha ha nipo mzee... Bwana bwana mahitaj yao yako very complexMzee upo?
Hawa dada zenu tunawaweza basi! Anasubiria eti.
[emoji23][emoji23][emoji23] ahsante kwa kunitafutia jina zuri, hivi katekista kumbe anaweza kuwa hata mwanamke?Ha ha ha linakupendeza sana ujue