Romantic dance ever

Kabisaaa ni Romantic haswa yani wote wajifunze kwa huyu. Hii ni tafsiri kuwa hawa wamependana kweli. Yani hawaigizi sababu ni harusi wanahisia kweli. Hii ndo tafsiri ya wet kiss
Mnatakiwa mjue tofauti ya romantic na maigizo ya kuwa romantic.hapa ndio wanawake wanakosea wanaume wengi walio romantic in public ndio wanaowatenda wenziwao.ni cheaters wazuri sana.kwa hiyo be careful.trust me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…