Inaonesha kama file na kiulizo[emoji16] [emoji16]Labda network yako ukiclick hapo itadownload then utaiona kwenye gallery yako
Sasa si ndio kudata kwenyewe..[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sijadata bhana Sema nimewapenda tu vile wameamua kutunyoosha
Yako lini??[emoji4][emoji4]
Mbele ya mama mkweli ana moyo huyuMc Garab si wa mchezo mchezo.
Come closer
Yangu tayari kaboom [emoji4] hatujawaalika tu humuYako lini??
Yani ilikuwa hivi karibuni?Yangu tayari kaboom [emoji4] hatujawaalika tu humu
Teh teh..Umeona sasa..Kuamsha popo mbele ya wakwe sio mpango..Mana mama mkwe ataanza kuvuta picha shurba inayoenda kumkabili mtoto wakeHa haaaaa unadhani jamaa hakuamsha popo[emoji38] [emoji38] lazima Sema ndo hatujaona tu
Ahahhah Kaboom weweYani ilikuwa hivi karibuni?