Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Leo smuckdown Shinshe Nakamura amempiga The Vimper Andre Orton. Mr English amempiga zemzain.Natalia pia ameshinda. Cobel nae ameshinda. Taarifa mbaya upande wa Smuckdown ni Kelvin amemfitini Shane Makmane na General meneja baada ya kumtukana akakasirika na kumpiga hivo Daniel Brayan amemwita C.O waje kusuluhisha tusubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Mkuu ni Randy orton (The viper) a.k.a mr R.K.O
Shane MCMahoon
Smackdown
shunsuke Nakamura
Safi mkuu. Umesomeka.
Vijana sasa hivi wapo hot, ni km enzi zile za DX,LEGACY, THE BROTHERS OF DESTRUCTION Na wengine wengi.
WWE & TNA ndiyo nyumbani. John Morrison amerudi yupo TNA anajiita Johhny impact.
 
Asante kwa kunisahihisha mengine ni ile kuandika haraka haraka thank mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matokeo ua yanajulikana,kuna kua script kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli.
Mbona The undertaker alishindwa na Shane McMahoon?
The same to Roman Reigns alishindwa na Demon Barlow
John Cena alishindwa na AJ styles, na Nakamura
Hapo nabisha, matokeo hayapangwi ila ni juhudi zako tu. Nani anataka kushinda na kushindwa?
Uliona mechi ya Roman Reigns vs Strawman ya ambulance match?
Juhudi yako ndiyo itakafunya ung'ae WWE AU TNA lkn suala la kubebwa hilo halipo
 
Wanabahatishaga tu ila mara nyingi wale waliochezeshwa na kushinda huwa hawaji kushinda live ile ni midoli tu inachezeshwa na hasa kulingana na mtu anavoshindaga wanatumia mbinu hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala siyo midoli mieleka ni mchezo km michezo mingine.
Na wazungu kila kukicha wanaifanya iwe bora zaidi ndiyo maana wakiwa wanacheza unaweza usiamini siyo kweli.
Uliona ile finish ya Demon Barlow? Hilo ndiyo anatumia Low ki TNA alberto De rio alirukiwa alicheua damu.
Uwe unaangalia na TNA ujionee ndugu.
Mieleka siyo maigizo ni mchezo na kitu kikifanywa kuwa mchezo kinafanywa kwa urafiki zaidi au kwa uadui zaidi lkn kwa hali ya urafiki.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Sipati picha mechi ya hawa jamaa ...Nakamura vs jindermahal

962a5d50baeae90016e20c86f8d4bf80.jpg

Vs

e25626194746722b18a3d53e6c9a025f.jpg
 
Leo Raw. Roman Rain alimpiga Jesse John. Brawn Stroman amempiga John Cena. Dean Ambros,Rolin,Hard boyz Waliwapiga Kina Shemas pamoja na akina Galos na Anderson ilikuwa ni watu wanne wanne. Hayo ni machache ya mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala siyo midoli mieleka ni mchezo km michezo mingine.
Na wazungu kila kukicha wanaifanya iwe bora zaidi ndiyo maana wakiwa wanacheza unaweza usiamini siyo kweli.
Uliona ile finish ya Demon Barlow? Hilo ndiyo anatumia Low ki TNA alberto De rio alirukiwa alicheua damu.
Uwe unaangalia na TNA ujionee ndugu.
Mieleka siyo maigizo ni mchezo na kitu kikifanywa kuwa mchezo kinafanywa kwa urafiki zaidi au kwa uadui zaidi lkn kwa hali ya urafiki.
atakuwa huwa angalizia youtube zile zilizokwisha chezewa ila kule TNA hatari bora WWE sheria zinawalinda wachezaji
 
Leo Raw. JESSE Jordan amemshinder kwenye team ya watu sita hivo atapigana No marcy na The mez. Wakina Shemasa wameshinda ila badi mkanda sio wa kwao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom