Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,676
12,342
Kwa wapenzi wa miereka huyu jamaa hafananishwi
Refer Hell in the cell alivyo garagaza vigogo wa WWE mpaka kina KO
Kumbe jamaa wanatamani sana title yake kina shemus na kundi la New day,

Twende moja kwa moja kwenye kundi alilounda triple H likawa na shemus na rusev na kina del rio
Hakyanani jamaa kagaragaza wote na ni wapganaji wa kutegemewa
Kwa kweli nimefurahi sana
Huyu jamaa natamani kuijua historia yake
Kwa mechi ya leo kwa kweli mi namtakia kila la heri
Amkungute vizuri sheamus
 
Attachments

  • 1449995412924.jpg
    1449995412924.jpg
    8.2 KB · Views: 1,105
masai dada

WWE siku hizi bwana haivutii kama zamani sijaangalia muda mrefu, thou Roman Reigns ni noma sana.

Tell me hivi Brock Lesnar bado yupo?
Huyu Roman Reigns anaweza akapigana naye hata dakika kumi kweli?
 
Last edited by a moderator:
Jamaa sio mviziaji kama kina kelvin owen KO na wala hana sifa kama yule mr selfie na kiukweli haitaji timu kubwa kama ile familia ya midevu
 
Attachments

  • 1449996518783.jpg
    1449996518783.jpg
    53.5 KB · Views: 743
Sijacheki muda mrefu wwe naimiss sana
Huyo jamaa na kundi lake la the shield ni noma sana undefeated hakuna tag team yeyote ilishawashida , siku izi wanapigana peke yao ninecheki wrestemania ya mwaka huu hawako tag team masai dada
 
Last edited by a moderator:
Kwa match ya leo mi namtakia kila la heri
 
Attachments

  • 1449996826388.jpg
    1449996826388.jpg
    112.6 KB · Views: 684
  • 1449996857368.jpg
    1449996857368.jpg
    62.6 KB · Views: 643
Kuhusu uviziaji waviziaji nakumbuka 1day walikua wanapigana na tag team ya Sheamus, randy orton na big show wakishinda kwa kuvizia😊😊😊😊
 
masai dada

WWE siku hizi bwana haivutii kama zamani sijaangalia muda mrefu, thou Roman Reigns ni noma sana.

Tell me hivi Brock Lesnar bado yupo?
Huyu Roman Reigns anaweza akapigana naye hata dakika kumi kweli?

Wrestlemania mwaka huu lesnar alipigana na Roman Reigns kugombania WWE World Heavyweight Champion na Reigns alikaribia kushinda kabla ya Seth Rollins aja cash MITB contract na kumpokonya ushindi Reigns
 
Last edited by a moderator:
Iyo game mzee wa brogue kick Sheamus lazima ashinde @ Masai dada si ndo current holder wa wwe champion
 
masai dada

WWE siku hizi bwana haivutii kama zamani sijaangalia muda mrefu, thou Roman Reigns ni noma sana.

Tell me hivi Brock Lesnar bado yupo?
Huyu Roman Reigns anaweza akapigana naye hata dakika kumi kweli?

Brock lesnar the beast mzungu kichaa ni copy za kina stoncold stunner Hana formular za kupiga vurugu tu😊😊😊😊😊
Wrestemania last year alilambishwa mchanga na triple h
 
Wrestemania last year alilambishwa mchanga na triple h alipigwa pedigree moja matata sana kwenye ngazi za chuma zile
 
Last edited by a moderator:
Uyuu jamaa nlimkubali na kumuelewa kiukweli baada ule mpambano na brock lesnar..sheamus cjui kama ana uwezo wa kupambana na jamaa..
 
masai dada

WWE siku hizi bwana haivutii kama zamani sijaangalia muda mrefu, thou Roman Reigns ni noma sana.

Tell me hivi Brock Lesnar bado yupo?
Huyu Roman Reigns anaweza akapigana naye hata dakika kumi kweli?
BROCK LESNER YUPO
juzi alimkunguta rusev(mbulgaria) akamchanganya na mke wake(mchumba wanakaribia kuoana ila sijajua kama ni show tu za WWE kama zile za kina daniel bryan kufungia ndoa kwenye cell kumbe ni magizo

alishapiganaga na ROMANS REIGNS ilikuwa best match tupa nikutupe piga nikupige ila romans alimpiga brock
sijajua kama wali rematch
 
Last edited by a moderator:
Brock lesnar the beast mzungu kichaa ni copy za kina stoncold stunner Hana formular za kupiga vurugu tu
Wrestemania last year alilambishwa mchanga na triple h

Aaah wee bwana weeee,
Brock Lesnar unamlinganisha na Steve Austin kweli? Mbona Brock hamfikii stone cold hata chembe?

Any ways kwakuwa ni maigizo basi tu tunakubali.
 
Brock lesnar the beast mzungu kichaa ni copy za kina stoncold stunner Hana formular za kupiga vurugu tu😊😊😊😊😊
Wrestemania last year alilambishwa mchanga na triple h
huyo jamaa anatisha sana very corossive
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom