Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

...afande,nimejaribu ku search hiyo link ya www.kat.cr nikaona movies tu,vp km unaweza nisaidia link niende moja kwa moja kudownload mzigo wenyewe,au km utaweza nirushia huo mzigo wenyewe kwa njia yoyote, utakuwa umesaidia sn..!
typpe kwenye search bar unachotaka sasa
 
Ha ha haaaa Aya ngoja wapashe, maana alivorudi alifanikiwa kuchukua ka mkanda wa USA championship!

Mwenzake Rand anapigwa kila siku na yule muhindi Jinder Mahal, hata hili pambano wanalotegemea kupigana, (Something like hell in a cell) atapigwa tu

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Hell in the cell ponjoro atachezea kichapo cha haja,maana wale ma charlie chaplin wake awatokuwemo mle ndani,mle ndani ni ngoma mtu 2 tu,kuch kuch hotae ndipo atakapoijua rko ni kitu ya namna gani
 
naomi-knight-wwe-belt1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Randy Oton Mhenga.

ko,seth rolin,Aj nk sijamuona wa kumfikia roman reigns

Roman n mkazaji mzuri
mimi binafsi napenda mwanamieleka asieshindwa, asiepigana battle za uonevu, na cheat cheat kibao yani habahatishi...

asie vaa machupi , mfano reigns ana mavazi yake mazuri yanayomtambulisha kabisa sio mambo ya vichupi...

pia naangalia silaha za kumalizia ,mfano reigns ana ngumi yake ile akipiga huamki, Randy oton ana Rko, john cena anayo yake ,Dx michael shown alikuaga na teke nk


so Roman reigns ana hizo sifa yuko Fair, loyal ,mvumilivu anauzika nk
chunguza wana mieleka wengi wanaopendwa wana hizo sifa na sio wavaa vichupi. Mfano John cena ,rey maysterio nk

TECNO-C5 Wereva
Mkali ni The Undertaker tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mieleka niliachaga zamani kuangalia kipindi hiko tunawapenda akina Jeff hardy, undertake ,D generation batista cena mysterio nk

lakini nilivokuja kutazama tena miaka ya hivi karibuni nikajikuta nampenda Roman reigns...
ina maana kwamba roman ana sifa za kuwa miongonj mwa wanamieleka bora kabisa wa kizazi hiki

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
We inaonyesha ulimpendea mavazi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom