princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,657
- 19,272
Finn balor ni mwanamieleka au mwanamitindoHao uliowataja wote wanapigwa na roman reigns,watu ambao wanamsumbua huyo kiumbe ni braun strawman tena kwa mbinde ndio anampiga,kuna brock lesnar na samoa joe hao ndio wanaomsumbua roman,waliobaki wote wanakaa even huyo john cena
Post sent using JamiiForums mobile app



mashauzi kibaotena hao wanaomsumbua ni kwa ajili ya miili yao hasa huyo strawman
block lesna ile style ya kuvunja wenzie migongo na mwili uliozoea punch
Post sent using JamiiForums mobile app
