Mkuu uhalali au ulipaji kodi I cant say sababu hakuna evidence, kuhusu kuua mtu ni kweli hakuna kashfa kama hiyo ambao ilishawahi kuwa connected na bill gates... Kuhusu beef ya Gates na Job haipo sababu ya competition tu ipo sababu ya Graphical User Interface kwenye windows.., Baada ya msaada mzuri wa IBM kununua operating system kwa Gates (ingawa software haikuwa yake ilikuwa ni ya jamaa fulani Gates alichofanya ni kununua kwa huyu jamaa na kuingia deal na IBM kwamba computer zao zote zitakuwa na Operating system yake) hii ndio iliompandisha chati gates...
Lakini Job katika tembea tembea zake huko kwenye kampuni ya Xerox akaona jinsi ambavyo anaweza akatumia graphical user interface na mouse kwenye computer na sio command prompt basi Job akapata wazo la kutumia hii idea kwenye mac computer zake
Hivyo basi Job alivyo kuwa show off akaamua kuitisha show ya kuonyesha jinsi the new Mac computer itakavyokuwa na graphical user interface.., lakini kumbe na Gates na yeye alikuwepo pale.., Na kwa ujanja wake akachukua ile idea akenda kwa kasi sana akatoa windows version 3.1 haraka kabla mac hazijaingia sokoni.., In so doing akawa amemuwahi Job na kwenye software mtu akishapata bidhaa ya A ni vigumu kuinvest kwenye bidhaa ya B
Basi ugomvi ni kwamba Job anasema kwamba Gates ni mwizi na aliiba idea yake, wakati Gates anasema kwamba sio yako mimi niliiona tu kwako lakini originally idea ilikuwa ni ya Xerox..
Kwahiyo mkuu if you dig deep maybe there is no such thing as a squeaky clean businessman
Of course nina uhakika na ninachokisema, ata hao Wikipedia uwa wanaweka source ya walikotoa information zao au vile vijinamba vilivyoko kwenye mabano unafikiria ni vya nini?Mkuu una uhakika na unachokisema au umeamua tu kuongea...
Mkuu hii issue imetoka kwenye source mbalimbali pamoja na kitabu kwa jina la Abramavich the self made millionnaire tatizo mkuu unashindwa kujua kwamba hata wikipedia inatoa source kutoka kwenye sources tofauti na mtu yoyote anaweza akaongeza au kupunguza kitu (at that its not such a reliable source)..
Hivi hujui kwamba passage moja kutoka kwenye source moja inaweza kuwa duplicated katika sources nyingine zote...?? Au hujui kwamba gazeti la za Times waliamua kwenda russia na kuanza kumchimba na kuangalia jamaa ametokea wapi hadi kuja chelsea (kama mkuu wewe source yako pekee ni wikipedia basi ujue huenda information unazotoa haziko authentic)
Hawa akina Abramovich wangekuwa wanaishi USA basi cha moto wangekiona I mean kodi wangelipa na ikibainika ama kuwa-proved kuna murder, tax evasion basi sheria US inachukua mkondo wake bila kujalisha wewe ni billionaire or not. Kamwuulize the legendary mafia gangster, Al Capone nini kilimpata pamoja na utajiri wake na ubabe wake
Again, hiyo ni beef ya tech., naongelea uhalali na uwazi wa biashara za billionaires duniani. Kama Jobs angekuwa na ushahidi wa kumburuza Gates kortini ama congress angeshafanya hivyo.Mkuu uhalali au ulipaji kodi I cant say sababu hakuna evidence, kuhusu kuua mtu ni kweli hakuna kashfa kama hiyo ambao ilishawahi kuwa connected na bill gates... Kuhusu beef ya Gates na Job haipo sababu ya competition tu ipo sababu ya Graphical User Interface kwenye windows.., Baada ya msaada mzuri wa IBM kununua operating system kwa Gates (ingawa software haikuwa yake ilikuwa ni ya jamaa fulani Gates alichofanya ni kununua kwa huyu jamaa na kuingia deal na IBM kwamba computer zao zote zitakuwa na Operating system yake) hii ndio iliompandisha chati gates...
Lakini Job katika tembea tembea zake huko kwenye kampuni ya Xerox akaona jinsi ambavyo anaweza akatumia graphical user interface na mouse kwenye computer na sio command prompt basi Job akapata wazo la kutumia hii idea kwenye mac computer zake
Hivyo basi Job alivyo kuwa show off akaamua kuitisha show ya kuonyesha jinsi the new Mac computer itakavyokuwa na graphical user interface.., lakini kumbe na Gates na yeye alikuwepo pale.., Na kwa ujanja wake akachukua ile idea akenda kwa kasi sana akatoa windows version 3.1 haraka kabla mac hazijaingia sokoni.., In so doing akawa amemuwahi Job na kwenye software mtu akishapata bidhaa ya A ni vigumu kuinvest kwenye bidhaa ya B
Basi ugomvi ni kwamba Job anasema kwamba Gates ni mwizi na aliiba idea yake, wakati Gates anasema kwamba sio yako mimi niliiona tu kwako lakini originally idea ilikuwa ni ya Xerox..
Kwahiyo mkuu if you dig deep maybe there is no such thing as a squeaky clean businessman
Kutoka WikipediaAkiwa mtoto yatima (mama alifariki akiwa na mwaka mmoja na nusu na baba yake alifariki kwa ajali akiwa na miaka minne) Kwa sasa ni mtu wa nne kwa utajiri Russia na mmiliki wa Chelsea FC.
Alifanyaje Kupata Utajiri Wake
My Take
- Alivyokuwa Jeshini alifanya biashara ya kuwauzia mafuta ya wizi wanajeshi wengine jambo lililompatia pesa nyingi
- Kuonyesha kwamba anachukua kila opportunity alitumia pesa alizopewa kama zawadi na wazazi wa mke wake (2000USD) kufanya illegal business (black market) huko Moscow
- Kwa faida ya biashara zake alianzisha kampuni ya kutengeneza toys na spea za magari na biashara nyingine nyingi kuanzia biashara za mafuta, nguruwe na bodyguard recruitment
- 1992 alishikwa kwa kuibia serikali, aligushi documents na kupeleka mzigo wa mafuta uliokuwa kwenye treni kwenda sehemu ambako ilikuwa haipaswi kwenda, lakini kesi hii ilikufa kifo cha kawaida
- 1995 kwa kutumia connection za rafiki yake Boris Berezovski, ambae alikuwa close na President Yeltsin walitumia controversial program ya loans for shares (inasemekana Yeltsin alikubaliana na orgarchs (Abramavich akiwa mmoja wao) ili kumsaidia Yeltsin achaguliwe tena. Hii iliwafanya wapate control kubwa ya kampuni kubwa ya mafuta (Sibnet) kwa bei nafuu sana . Na hii program ndio iliozaa matajiri wengi wa sasa huko Russia
- Baada ya Aluminium Industry kubinafsishwa kulitokea competition kubwa sana ya kumiliki hii industry.., watu wengi waliuwawa (waandishi wa habari, wafanyakazi viwandani n.k.) mwisho wa siku mshindi alikuwa ni Roman Abramavich
- 2003 alinunua Chelsea FC
- 2000/2008 alikuwa governor wa Chukotka sehemu masikini sana lakini kwa kazi yake nzuri aliweza kupandisha wastani wa mishahara kutoka 165USD (2000) mpaka 826USD (2006)
The Man did it all by himself na kwa kipindi kifupi sana kwa kutumia advantage, zilizokuwepo, (corruption na Umafia uliopo Russia). In short jamaa sio wa kuchezea
Kama kuna clear concrete evidence ya kuku-connect na any crime in the US you are done! O.J issue was circumstacial kama ilivyokuwa majuzi issue ya huyo binti wa Florida alieeepa murder ya mwanawe (K. anthony)Mkuu hata wangekuwa huko hawa jamaa hawaibi kama vichaa wanaiba na evidence inakuwa ni vigumu kuwashika sababu hakuna hard core evidence.., hivi ulishasikia kuhusu mtu anaeitwa Al Capone huyu jamaa alikuwa ni bonge ya mafia na aliua watu wengi lakini serikali ikashindwa kumshika kwa hizo murders na mwisho wa siku alishikwa kwa kosa dogo to la tax evasion na sio makosa yake makubwa...
Na vipi kuhusu OJ Simpson au yeye hakuwa America au unadhani labda hakumuua girlfriend wake?, mkuu hata states ukiwa na connection na pesa ni mengi tu unafanya..., an if am not mistaken kuna kashfa nyingi sana kuhusu ubadhilifu zilizokuwa zinamkumka either Bill Clinton au mdogo wake Bill (lakini hakuna kilichoendelea)
Au tafuta history ya Kennedy Familiy na baba yao Joe Kennedy
Mkuu hata wangekuwa huko hawa jamaa hawaibi kama vichaa wanaiba na evidence inakuwa ni vigumu kuwashika sababu hakuna hard core evidence.., hivi ulishasikia kuhusu mtu anaeitwa Al Capone huyu jamaa alikuwa ni bonge ya mafia na aliua watu wengi lakini serikali ikashindwa kumshika kwa hizo murders na mwisho wa siku alishikwa kwa kosa dogo to la tax evasion na sio makosa yake makubwa...
Na vipi kuhusu OJ Simpson au yeye hakuwa America au unadhani labda hakumuua girlfriend wake?, mkuu hata states ukiwa na connection na pesa ni mengi tu unafanya..., an if am not mistaken kuna kashfa nyingi sana kuhusu ubadhilifu zilizokuwa zinamkumka either Bill Clinton au mdogo wake Bill (lakini hakuna kilichoendelea)
Au tafuta history ya Kennedy Familiy na baba yao Joe Kennedy
Of course nina uhakika na ninachokisema, ata hao Wikipedia uwa wanaweka source ya walikotoa information zao au vile vijinamba vilivyoko kwenye mabano unafikiria ni vya nini?
Joe Kennedy alikuwa na kashfa ya inside trading na bootlegging wakati wa prohibition, lakini hakukuwa na direct evedence ya kum-connect na izo issues, zingekuwepo he'd have been history wala JFK asingekuwa prez.
Mdogo wake Bill Clinton, (Roger Clinton) alipatikana na hatia na alifungwa.Akaachiwa kwa msamaha wa rais baada ya 2 years.
Issues za akina Hillary na Bill Clinton kuhusu ile scandal ya land, hakukuwa na clear cut evidence ya kum-tie Hillary and Bill, ingekuwepo evidence, kusingekuwa na prez. Clinton
Whatever your source was iwe imetoka kitabuni au mtaani kwa omba omba fanya uungwana na ku-aknowledge wahandishi walioiandika.Roman Abramovich Biography
Abramovich: The Billionaire from Nowhere: Amazon.co.uk: Dominic Midgley, Chris Hutchins: Books
Billionaires Blog: BILLIONAIRE SUCCESS STORY : Roman Abramovich - Millhouse Capital
Roman Abramovich
Ukiunganisha na Story ambayo walitoa gazeti la the times UK mara baada ya Roman kununua Chelsea hii ni story ambayo muandishi wa the Times alikwenda binafsi Russia kupepeleza…
Hivi nikikwambia hii habari nimetoa kwenye sources zote hapo juu na mystery iliyokuwepo UK kwa watu kuuliza kuhusu huyu jamaa utabisha…, !!!!??? au unataka tu kujiridhisha kwamba unao uwezo wa kubisha..??
Ungefikiria kidogo kabla ya kusema ungejua kwamba information kwenye internet ipo interconnected na information ambao unaweza ukaikuta wikipedia huenda imetokea JF na sio kila habari inatoka wikipedia ( na mpaka sasa its not the most reliable source) na habari ikiwepo wikipedia sio kwamba pengine itakuwa haipo facts remains facts hata zikipatikana wikipedia au kwenye gazeti la Uhuru..
Kwahiyo mkuu think before you pledge something as a fact (which you can never prove it as a fact)
Wewe yule jamaa angekuwa Russia na amekula pesa za watu kwa utapeli wa kipuuzi hivyo angeshakuwa Marehemu... Mkuu dont joke with Mafioso especially Russian MafiasImagine Bernie Mardoff (The 50 Billion $$ ponzi schemer) angekuwa anaishi Russia ama bongo, saa hizi asingekuwa anaozea jela, angekuwa anapeta tuu
Whatever your source was iwe imetoka kitabuni au mtaani kwa omba omba fanya uungwana na ku-aknowledge wahandishi walioiandika.
Ni kweli kabisa mkuu yaani hata ile deal aliyofanya na IBM ni kwamba alifanya deal wakati hata hana ownership ya ile Operating System yaani hata mwenzake Peter alimshangaa anaingia kwenye contract ya kuuza kitu wakati sio chake bado..wanasema hakuna hata kitu kimoja
ambacho gates aligundua yeye
yeye ali commercialize invention za wenzake
Tuambie alimfanya nini Jobs?
Katafute kitabu cha Paul Allen he talked about how ruthless Bill Gates was/is......
Again, hiyo ni beef ya tech., naongelea uhalali na uwazi wa biashara za billionaires duniani. Kama Jobs angekuwa na ushahidi wa kumburuza Gates kortini ama congress angeshafanya hivyo.