Roma Mkatoliki atangaza kuacha muziki!

Marekani ukiwa na makaratasi kazi zipo sana, nafikiri lengo Lake ni kubaki kule na kupiga kazi. 💵 madola nje nje
 
Mbona jamaa amekonda sana
Swali muhimu sana.

Ila pia nilimsikia akielezea hili la kuacha muziki, nafikiri nayeye ameanza kutembelea kiki. Sio kuacha kwamba hatoimba tena, nadhani anataka kutoa ngoma kabla ya mwaka huu kuisha na hiyo itafanya wimbo huo kuwa wa mwisho kwa mwaka huu. Alisema kila mtu ana nanna anavyotafsiri jambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom