Roma adaiwa kutaka kuhamia CCM

Roma adaiwa kutaka kuhamia CCM

Ili utawale kwa raha ni lazima utoe upinzaini.
Check my avatar
hahahaa hiyo avatar inankumbusha hadthi nilosimuliwa longtime sana utotoni, kuwa huyo mfalme alikuwa anataka kusifiwa na akikutuma ukapinga anaku pyupyu aka anakuua, sasa alimuagiza huyo fundi maridadi amshonee vazi la kipeke ambalo kila mtu atastaajabu nalo, fundi kaumiza kichwa weee akaona hii kitu hamnaga, ilipofika hiyo siku ya hafla akamwambia mfalme tayari ila itabidi nikuveshe mwenyewe, basi kamwambia mfalme atoe nguo zote kisha akawa kama anamvesha kwa ishara, mfalme akawa hamwelewi, fundi akamwambia hili vazi kiboko lazima ushangae, mfalme bichwa hilooo akatoka mbunjumbunju mpaka jukwaani watu wanavyomshangaa yye anadhani wanamkubali kwa pamba amazing
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
MANGE ame replace ya HAYATI SHEIKH YAHYA..
 
Back
Top Bottom