Roma adaiwa kutaka kuhamia CCM

Roma adaiwa kutaka kuhamia CCM

Nchi maskini ya vi-wonder inakesha kununua madiwani, kuwarubuni wasanii, na kurudia chaguzi kwa zaidi ya shilingi bilioni moja kila chaguzi. Chaguzi zenyewe zinahitimishwa kwa kuua wanafunzi kwa risasi Ni nchi ya vi-wonder kweli. Isitoshe spika wake wa bunge anakatwa vidole kila kukicha huko India kwa gharama za walipa kodi. Ni nchi ya vi-wonder!!!!
Ili utawale kwa raha ni lazima utoe upinzaini.
Check my avatar
 
Roma lazima achanganyikiwe,marinda Hana huku njaa inauma. Maumivu yake ni makali joh
 
Mwache aende apate ada ya mwanae kwani kwake yeye kati ya nyie watanzania na mwanaye nan bora kwake !!
 
Anaisha kizembe sana.
Lakn afanyeje?

Diamond anazinguliwa japo walishirikiana kumpandish mfalme kitini....sasa huyu alikuwa anamvuta nyuma..
.
Diamond hawawezi kumzingua sababu ni rafiki wa naibu. Roma ana familia inamtegemea. Akikoseshwa kufanya mziki leo familia yake itaishije? Cdm kama wanaweza kumsaidia aishi sawa ila kwa makamanda kulivyo kukavu hata hela ya kumsaidia mwanae ada hawawezi kumpa.
 
Roma Hana impact yoyote CCM au CDM.

Hizi ngonjera zinginge hazimake any sense.
Kwani siku hizi mnajielewa, kama kuwa na brenda ya juice nyumbani mnasema mtu anamiliki kiwanda hata hili sishangai.
Wangapi wametishwa hata watu wadogo ili wahamie huko wengine hata hawafahamiki kabisa afadhali ya roma
 
And they must be maana huyu mzee wa ita defender, itawajeda, sijui viva viva na mataputapu mengine kibao leo hii kweli anasanda? Njaa haijawahi kumuacha mtu salama
Achana na tumbo shemeji. Hakuna mbabe mbele ya tumbo
 
Kwani siku hizi mnajielewa, kama kuwa na brenda ya juice nyumbani mnasema mtu anamiliki kiwanda hata hili sishangai.
Wangapi wametishwa hata watu wadogo ili wahamie huko wengine hata hawafahamiki kabisa afadhali ya roma

Ni Blender sio Brenda.
 
Ili utawale kwa raha ni lazima utoe upinzaini.
Check my avatar
Mkuu avatar yako yanikumbusha mbali sana, niliwahi soma kitabu nimekisahu jina mfalme alidanganywa na fundi wake kama sikosei mfalme akaingia kingi akatokea mtaani chukuchuku (bila mavazi)
 
Back
Top Bottom