Roma adaiwa kutaka kuhamia CCM

Roma adaiwa kutaka kuhamia CCM

Mwanaharakati mashuhuri katika mitandao ya kijamii hasa instagram, Mange Kimambi amefunguka na kusema kuwa kuna kitu kikubwa msanii wa muziki wa hip-hop Roma anataka kukifanya lakini amekaa kimya kwa sababu anataka kuwashtukiza watu kama ilivyokuwa kwa baadhi ya wasanii wengine waliopita.

Mange Kimambi amabe mara ya kwanza alishawahi kutabiri kuwa mwanadada mrembo na msanii wema sepetu anatarajia kurudi CCM anasema kuwa hata sasa hivi Roma anataka kurudi CCM na ndio maana kumekuwa na kukaa kwake kimya.

Mange anasema kuwa swala la Roma kufungiwa lipo kisiasa zaidi na kwamba msanii huyo kuna kitu atakuwa ametishiwa kukifanya na ndio maana hata alipofungiwa hakutaka kuongea kitu zaidi ya kulalamikakidogo tu na kunyamaza.

“kuna habari zimenifikia sasa hivi kuwa Roma anahamia CCM,Naskia kapewa vitisho vya kutosha.still vitisho sio excuse …anyway ngoja tusebiri tuone.
Uwii kume Roma kaniblock,nilikuwa sijajua mpka sasa hivi nilivyokuwa natafuta picha ndo nikaona kuwa nimechezea kufuli.–Aliandika Mange kimambi katika ukurasa wake wa Instagram.
Ikumbukwe kwamba kipindi Roma anafungiwa nyimbo zake alikaa kimya kwa muda mrefu na mashabiki walimtaka sana mwana dada huyo kuzungumzia swala la wema kufungiwa lakini alikataa na kusema kuwa Roma amekuwa ni mkimya sana katika kufatilia mambo ya wengine hivyo na yeye anakaa kimya hatoongea kitu kuhusu Roma.
Da mange kasema!
 
Jitolee mkuchangia chakula na ada ya mtoto asiende
Sasa nimchangie mara ngapi ndugu? Mimi ni mdau wake mkubwa tatika kazi anazofanya, nyimbo nabuy online ata shows zake nyingi sijawahi kuziacha salama
 
Sasa nimchangie mara ngapi ndugu? Mimi ni mdau wake mkubwa tatika kazi anazofanya, nyimbo nabuy online ata shows zake nyingi sijawahi kuziacha salama
Hizo shows na nyimbo za kukuuzia wewe si wamebani mpaka aunge mkono juhudi za mkuu
 
Hizo shows na nyimbo za kukuuzia wewe si wamebani mpaka aunge mkono juhudi za mkuu
Mkuu nakuambia nabuy online sasa Mkito.com, Mdundo.com au Wasafi.com wanaburn vp?

Shows nazo nimeongelea...
 
Ili utawale kwa raha ni lazima utoe upinzaini.
Check my avatar
175749.jpg
 
Hizo shows na nyimbo za kukuuzia wewe si wamebani mpaka aunge mkono juhudi za mkuu
Hapo juu umesema aunge mkono juhudi za mkuu*d*
Hufamu shows wamemfungia
Alafu hapa chini kuna hafanyi shows wamemfungia

Maswali...

Kuunga mkono juhudi za mkuu zinauhusiano gani na swala lake la kufungiwa mziki?

Akiwa huko ccm juhudi za mkuu ndio anaziunga vipi mkono yani?

Miezi sita aliyofungiwa ikiisha akarudi chadema watamfungia tena?
 
And they must be maana huyu mzee wa ita defender, itawajeda, sijui viva viva na mataputapu mengine kibao leo hii kweli anasanda? Njaa haijawahi kumuacha mtu salama
Njaa hainaga bouncer kudadeki. Hatarious
 
Chanzo cha taarifa ni cha kuaminika kwa hiyo hii habari likely ni ya kweli.
Roma ana hitaji kula sitamlaumu hata akihamia CCM. Wacha aendane na mazingira yaliyopo. Japo hawa mfanyii fair. Wali mteka hadi leo hatujui walimfanya nn bado tena now wame mfungia.
Nenda CCM Roma hakuna namna
Ni kweli tunalazimishana mambo
 
Hahah!! Ukinikata damu yangu ni Lowassa mtupuu, maeeeee leo sio yule tena
Lowassa huku una njaa, siasa ni mchezo mchafu *****. Ubaya unakuja ukihujumiwa usiweze pata hata mkate wako wa kila siku
 
Kama Da Mange kasema nani wakubisha?
 
Back
Top Bottom