Roma adaiwa kutaka kuhamia CCM

Roma adaiwa kutaka kuhamia CCM

Joined
Jan 7, 2018
Posts
52
Reaction score
63
Mwanaharakati mashuhuri katika mitandao ya kijamii hasa instagram, Mange Kimambi amefunguka na kusema kuwa kuna kitu kikubwa msanii wa muziki wa hip-hop Roma anataka kukifanya lakini amekaa kimya kwa sababu anataka kuwashtukiza watu kama ilivyokuwa kwa baadhi ya wasanii wengine waliopita.

Mange Kimambi amabe mara ya kwanza alishawahi kutabiri kuwa mwanadada mrembo na msanii wema sepetu anatarajia kurudi CCM anasema kuwa hata sasa hivi Roma anataka kurudi CCM na ndio maana kumekuwa na kukaa kwake kimya.

Mange anasema kuwa swala la Roma kufungiwa lipo kisiasa zaidi na kwamba msanii huyo kuna kitu atakuwa ametishiwa kukifanya na ndio maana hata alipofungiwa hakutaka kuongea kitu zaidi ya kulalamikakidogo tu na kunyamaza.

“kuna habari zimenifikia sasa hivi kuwa Roma anahamia CCM,Naskia kapewa vitisho vya kutosha.still vitisho sio excuse …anyway ngoja tusebiri tuone.
Uwii kume Roma kaniblock,nilikuwa sijajua mpka sasa hivi nilivyokuwa natafuta picha ndo nikaona kuwa nimechezea kufuli.–Aliandika Mange kimambi katika ukurasa wake wa Instagram.
Ikumbukwe kwamba kipindi Roma anafungiwa nyimbo zake alikaa kimya kwa muda mrefu na mashabiki walimtaka sana mwana dada huyo kuzungumzia swala la wema kufungiwa lakini alikataa na kusema kuwa Roma amekuwa ni mkimya sana katika kufatilia mambo ya wengine hivyo na yeye anakaa kimya hatoongea kitu kuhusu Roma.
 
Chanzo cha taarifa ni cha kuaminika kwa hiyo hii habari likely ni ya kweli.
Roma ana hitaji kula sitamlaumu hata akihamia CCM. Wacha aendane na mazingira yaliyopo. Japo hawa mfanyii fair. Wali mteka hadi leo hatujui walimfanya nn bado tena now wame mfungia.
Nenda CCM Roma hakuna namna
 
Chanzo cha taarifa ni cha kuaminika kwa hiyo hii habari likely ni ya kweli.
Roma ana hitaji kula sitamlaumu hata akihamia CCM. Wacha aendane na mazingira yaliyopo. Japo hawa mfanyii fair. Wali mteka hadi leo hatujui wakifanya nn bado tena now wame mfungia.
Nenda CCM Roma hakuna namna
Kwahiyo unamshauri kwenda ccm kwa maslahi ya Tumbo?
 
Roma Hana impact yoyote CCM au CDM.

Hizi ngonjera zinginge hazimake any sense.
 
Ngoja nisubiri siku ya kuhitimisha haya tunayoyatarajia
Hivi CCM ina wanachama wangapi na ni waaina gani? Ili ujoin CCM inabidi uwe mtu maarufu au? Hao tunaowaona kwetu Dodoma na khanga za tangu 2000 wana kadi au vipi? Roma anatishwa na wasiojulikana angekuwa na uwezo angesepa akaenda zake US au UK au hata Japan mpaka baba Jessica apumzike kwa amani Chatter.
 
Nchi maskini ya vi-wonder inakesha kununua madiwani, kuwarubuni wasanii, na kurudia chaguzi kwa zaidi ya shilingi bilioni moja kila chaguzi. Chaguzi zenyewe zinahitimishwa kwa kuua wanafunzi kwa risasi Ni nchi ya vi-wonder kweli. Isitoshe spika wake wa bunge anakatwa vidole kila kukicha huko India kwa gharama za walipa kodi. Ni nchi ya vi-wonder!!!!
 
Eeeh
Anaye mkataza ahakikishe ana mpa Roma kazi ya maana ili Roma alishe familia. Kina Mbowe wenyewe wanalala jela sasa wewe mwananchi tuu kwa nn ushindane na chama bhana.
Roma ana kazi yake ya muziki, na Mbowe ana kazi yake ya ubunge.
Walizuiwa kufanya.kazi hawa !?
 
Mwanaharakati mashuhuri katika mitandao ya kijamii hasa instagram, Mange Kimambi amefunguka na kusema kuwa kuna kitu kikubwa msanii wa muziki wa hip-hop Roma anataka kukifanya lakini amekaa kimya kwa sababu anataka kuwashtukiza watu kama ilivyokuwa kwa baadhi ya wasanii wengine waliopita.

Mange Kimambi amabe mara ya kwanza alishawahi kutabiri kuwa mwanadada mrembo na msanii wema sepetu anatarajia kurudi CCM anasema kuwa hata sasa hivi Roma anataka kurudi CCM na ndio maana kumekuwa na kukaa kwake kimya.

Mange anasema kuwa swala la Roma kufungiwa lipo kisiasa zaidi na kwamba msanii huyo kuna kitu atakuwa ametishiwa kukifanya na ndio maana hata alipofungiwa hakutaka kuongea kitu zaidi ya kulalamikakidogo tu na kunyamaza.

“kuna habari zimenifikia sasa hivi kuwa Roma anahamia CCM,Naskia kapewa vitisho vya kutosha.still vitisho sio excuse …anyway ngoja tusebiri tuone.
Uwii kume Roma kaniblock,nilikuwa sijajua mpka sasa hivi nilivyokuwa natafuta picha ndo nikaona kuwa nimechezea kufuli.–Aliandika Mange kimambi katika ukurasa wake wa Instagram.
Ikumbukwe kwamba kipindi Roma anafungiwa nyimbo zake alikaa kimya kwa muda mrefu na mashabiki walimtaka sana mwana dada huyo kuzungumzia swala la wema kufungiwa lakini alikataa na kusema kuwa Roma amekuwa ni mkimya sana katika kufatilia mambo ya wengine hivyo na yeye anakaa kimya hatoongea kitu kuhusu Roma.
Mara wema kufungiwa
Mara Roma kakaa kimya !
Which is which ??
 
Kwahiyo unamshauri kwenda ccm kwa maslahi ya Tumbo?
Acha tuu aende. Maana hata akibaki cdm hatutamlisha.
Apande kwenye majukwaa achukue nafasi ya captain komba.
 
Back
Top Bottom