Rolls Royce ya Diamond ni fake au Real?

eity 4

Senior Member
Dec 7, 2014
147
206
Kumekuwa na mjadala mrefu kuhusu gari aliyonunua star wetu wa muziki wa bongo flavor Diamond platnamuz. Wengine wakisema eti gari hilo sio halisi ni fake, na wengine wakidai ni original.

Aina ya gari ni Rolls Royce cullinan. Kwa mwenye uelewa na haya magari tusaidie. Fake yanakuwaje, na orjino yanakuwaje.
 
Kumekuwa na mjadala mrefu kuhusu gari aliyonunua star wetu wa muziki wa bongo flavor Diamond platnamuz. Wengine wakisema eti gari hilo sio halisi ni fake, na wengine wakidai ni original. Aina ya gari ni Rolls Royce cullinan. Kwa mwenye uelewa na haya magari tusaidie. Fake yanakuwaje, na orjino yanakuwaje.
Tuanze na vitu anavyovaa diamond kuanzia Saa, vito vya thamani na nguo anazovaa.

Anavaa really au fake?

Ukigunduwa hayo basi hupati shida kujuwa kama gari ni fake au really?
 
Kumekuwa na mjadala mrefu kuhusu gari aliyonunua star wetu wa muziki wa bongo flavor Diamond platnamuz. Wengine wakisema eti gari hilo sio halisi ni fake, na wengine wakidai ni original. Aina ya gari ni Rolls Royce cullinan. Kwa mwenye uelewa na haya magari tusaidie. Fake yanakuwaje, na orjino yanakuwaje.
Kamtoa nishai hata mo dewji aliyeshindwa inunua kisa simba yafanya vibaya afrika. Nakumbuka mo dewji aliandika ameahirisha kununua rolls royse baada ya kile kichapo cha sauzi..
 
Sidhani kama ni issue kubwa , Tanzanians are so haters na sijui kwanini tumejijengea hyo mentality hii mbaya tunawivu wa kipindukia kwa watu wanaotuzidi maendeleo. Kama ni fake au OG Mondi ndo anajua but the issue amekuwa kijana wa kitanzania kumiliki ndinga kali respect.

Tujifunze kutafuta pesa na sisi tununue tunavyovipenda sio kuponda wakati hata baiskeli hatuna
 
Diamond amedanganya Bei tu.

Screenshot_20210715-063321.png
 
Diamond amedanganya Bei tuView attachment 1854318
$382k ni sawa na Tshs.878,600,000 kwa rate ya sasa!

Hio gari kuipitisha TPA lazma ilipiwe kodi na kodi za magari za sasa nyingi ni 80% to 110% ya bei ya manunuzi! Tuchukue tu 80% ya bei ya manunuzi sababu gari ni latest.
878,600,000x80 % =702,880,000

Sum up: 878,600,000+702,880,000

Amount ni 1.58B sasa hapo kilichodanganywa ni kitu gani!
 
Masikini wako bize kuwaombea wanaopbana na kufanikiwa wafeli wawe kama wao..
Yani tuna chuki za kishamba kwenye mambo hata ya wazi kabisa! Rollce Royce ni gari ambayo inatengenezwa UK sasa kwa brand yenye heritage kama hio how can they fake kwanza production ya mwaka mzima inakuwa on a specific number of vehicles!

Watu wengine ndio kwanza wameiona Rolce Royce jana 😅 hata walikuwa hawajuagi kama kuna gari kama ile!
 
Wangekua wanajaribu kujifunza jamaa anatoboa vipi ingekua poa sana.
Mfano mcheki mwijaku atakuja nanpovu la tani kadhaa
😀😀😀😀
 
Hivi unawezaje kutengeneza Rolls-Royce fake na ukaweka kila kitu cha Rolls-Royce kuanzia nje mpk ndani?nimeamini nyani hata ukimvalisha nguo hawezi kufikiri kama mwanadamu kisa umemvalisha nguo za binadamu watanzania ni moja ya watu wenye roho mbaya sana na wivu wa kijinga sana

Yule chizi wa kike tulitegemea kuwa kwake US kwa kipindi kirefu kidogo anaweza kuadopt japo akili kidogo kumbe kavalishwa nguo tu akili zake bado zinawaza kupanda miti na kula ndizi tu
 
Wengine inabidi tuwaelewe tu kuwa mond anawaweka hewani, wanasafiria nyota ya mond hivyo kila afanyacho lazima nao watumie fursa ya kwenda na huo upepo, wanalisha familia kwa kuwa haters..
Hahahahha labda ndio maana hawaachi
 
Itakuwa ni walewale wanaharakati uchwara walioanzisha Petition jamaa aondolewe BET Awards ndiyo wamekuja na hii hekaya.

Mwisho wa siku,Liwe fake au Og it's none of their fvckng business.
 
Mange kimambi huyo 😂😂.

Nilikuaga nimemfollow huyu bibie ila nikaona hapana huyu bidada kichwani ni mweupe mnoo, anaweza kuambukiza ujinga. Followers wake wengi akili zao ni 1. Yeye anaenda na upepo wa wasanii ili abaki kutrend.
Tuache chuki bna lile dinga ni kali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom