2012 dah! ila hizi nyuz zilikuwa nyingi sana kiasi kwamba nilishindwa kujua niingie wap kama mtu hakunimention lol!
umeona eee gfsonwin....ila yote kwa yote ngoja tuitike ili charminglady atuone. Haya mkuu na sisi 2012 na 2013

Mwaka mpya tayari?
Mna vituko sana...mwaka umewakuta jf basi mambo yenu mwaka mzima yatakuwa kijeiefu
umeona eee gfsonwin....ila yote kwa yote ngoja tuitike ili charminglady atuone. Haya mkuu na sisi 2012 na 2013
Mwaka jana 2012 na mwaka huu 2013!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
mwaka jana na mwaka leo......NIPOO