Rojo rojo la Ichana na munkari ni shida!

hawawezi kuwa wazungu hao
 
mii huwa sijui tofauti ya wig na zile za asili, ICHANA njoo unambie huku, wee ni kabila gani? Mzungu ama? kuanzia leo naacha card gari nyumbani! daaah, hii hatari sana hii! hizi ni neema hizi!
 
Kama ni kura nampigia Munkari ikwakweli
 
Last edited by a moderator:
samahani mkuu, Munkari alikuwa anafanya nini hapo?
 
Last edited by a moderator:
Mungu wangu!!!! Na huku tena??

Jamani jamani
Mnanionea!!!

Ila hilo rojo
Atakayelila lazima
Alambe sahani!!!!

Umejiona eeh!! Hapo lazima alambe kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…