Roho ya paka

Binadamu wengi ni wanafki hawalii kwa kua wanampenda aliyekufa ila kwa kuwa watakosa kitu flani alichukua anapata kutoka kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ana namna yake ya kuchukuliana na maumivu au uchungu
 
Kwa hiyo mnataka alie mpaka augue vidonda vya tumbo pamoja na maradhi mengine.
Kwani akilia sana mama yake atafufuka?
Acheni unafiki yaani mnataka kumpangia mtu kulia kiasi fulani ili awaridhishe. Shenzii.
umetisha ndugu
 
Kwaiyo mtu akiwa msibani mda wote inabidi awe analia ? Acheni umbea kwani nyinyi ndo mnauchungu zaidi kuliko aliyefiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…