Roho ya kisasi! Shetani anaposimamia ukucha

Roho ya kisasi! Shetani anaposimamia ukucha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,090
1440353113270.jpg
 
Alikuwa na lengo ambalo lazima litimie. Haijalishi kikwazo gani kipo lazima azma yake iwe.
 
Wapenzi,msijilipize kisasi,bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa,Kisasi ni juu yangu mimi; Mimi nitalipa, anena Bwana.Warumi 12:19.Hallelujah
 
Aisee! Hapo bora upambane na sima ila sio huyo jamaa.
Maana mpaka sura imebadlika moyo umejawa na hasira hana hata punje ya huruma..

Hii hatar sana hyo roho ikiisha kukaa ni hatar mno..
 
hiyo picha ni ya wakati wa xenophobia huko south africa jamaa alikuwa anajikinga ndiyo maana alikuwa hana ata viatu alikuwa ametoroka kujinusuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom