ntabhaligwa
Senior Member
- Jan 2, 2017
- 141
- 104
- Thread starter
- #101
Mungu alishaumba malaika , ambao hawakuwa na matamanio, ambao walifanya mazur tu na walikaa miaka sana, kwa hiyo ni utashi wake kuja kumuumba mwanadamu ambaye akampa matamanio na 'free will'.Hujajibu swali langu, Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao kuna uzuri lakini ubaya haupo na hauwezekani kuwepo?
Hili ndilo swali langu, ambalo hujalijibu.
mungu hawezi kuwa na mfano wa kushinda kijiweni kutengeneza vitanda au makochi maana alikuwa seremala...anakula na ukila lazima ujisaidie...na mambo mengi kama binadamu kamili...mungu hawezi kujidhalilisha vile msalabani kisa tu wanadamu wamuamini...yaani haingii akilini hata kidogo Bali naamini alikuwa nabii kama manabii wengine wa mungu baba waliotangulia kabla yake.