Roho inaniuma sana

[emoji28]eti namuamin sn,ni mtu wa dini aliniambia hajawahi!

Ndo hivi?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji2960][emoji2960]paragraph ya pili[emoji120][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Alikwambia hajawahi kufanya sasa kabadili gia angani eti kashawahi mara mbili
Umepigwa

Muombe na wewe akupe mara mbili
Kmmk [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Zoba

By banana zoro

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ogopa sana mwanamke anaye kuambia Mimi Bado bikira

Mimi Sina hisia za kufanya mapenzi

Hao ni version mpya ya matapeli nchini [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kama no hivyo mbona Bado ana pokea misaada ya kijana wa watu

Dame no Tapeli tu unampiga jamaa kijanja ana mtumia mchizi kihisia kufanikisha malengo yake madogo madogo [emoji16][emoji16]
 
Untold truth [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Kwanza hapo alivyojibiwa kuwa alifanya mara mbili na jamaa ake "ALIEMPENDA SANA TENA SANA" kwa kuweka msisitizo inaonyesha wazi kabisa kuwa jamaa hapendwi ila analazimisha tu.
Naam [emoji419][emoji419]
 
Yaani mwanamke wa era hii ana kuambia Yuko bikira na unamuani omg [emoji15][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]

Watu wana date na vibinti vina miaka 15 na. Wana vikuta vikiwa haviko virgin sembuse huyo ambaye yupo Uni kabisa , Yaani awe anasoma uni then Bado ana bikira , Aisee ningekufa Sasa hivi [emoji16]
 
Bora hata Shamila wetu ana mwandiko mzuri, maana screenshot za wana JF hutuua mbavu.
 
Anakupima wivu huyo
.
. Nenda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara kachukue ujuzi mbn analika huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…