FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
Mheshimiwa Rais Magufuli, baada ya kumpigia kelele waziri wako wa mazingira mh.January Makamba kwa takriban miaka mitatu bila mafaniko nimeamua nije kwako moja kwa moja sina budi.
Rais wangu mpendwa, kuna tija gani ya kuendelea kutumia mifuko ya plastiki ilihali 90% ya mifuko ya plastiki inaagizwa toka Kenya? Tena kuongeza chumvi na pilipili kwenye kidonda Kenya wamepiga marufuku matumizi na uagizaji wa mifuko hiyo, lakini wanaendelea kufaidi uchumi wa viwanda kupitia mgongo wa Tanzania, kwani viwanda hivyo huuza takataka zao zote nchini Tanzania.
Mheshimiwa Rais, kama kuna haja sana ya kutumia mifuko hii, basi izalishwe yote Tanzania ili vijana wapate ajira kupitia viwanda hivyo, ila napendekeza matumizi ya mifuko mbadala ambayo uzalishaji wake utatoa ajira pia kwa vijana na kuweka mazingira safi.
Mheshimiwa Rais, sio siri tena, mifuko hii ina madhara yaliyodhahiri kabisa,wewe ni mkemia, unajua ninachokizungumza.
Fahamu hatari kubwa zinazozikabili nchi zinazotumia mifuko ya plastiki - JamiiForums
===============================
Update: 04/06/2019
Rais Magufuli atilia mkazo zuio la mifuko ya plastiki soko la ferry.
============================
=================================
Baada ya Rwanda kupiga marufuku mifuko ya plastic, vijana wengi wamepata ajira katika uzalishaji wa mifuko mbadala
Inatia uchungu sana, Rwanda ni jirani zetu tu hapo, kwanini wanatushinda kwenye hata vitu vidogo tu kama hivi?
=================================
Rwanda walipiga marufuko mifuko ya plastiki miaka 10 iliyopita, ona matokeo mazuri waliyonayo, hongera Paul Kagame kwa uongozi uliotukuka
================================
Update: 09/03/2019
Mifuko ya pkastiki imepigwa marufuku

Hatimaye Waziri Mkuu Majaliwa, apiga marufuku mifuko ya Plastiki
Video ina maelezo kamili toka kwa Waziri mkuu mwenyewe, waziri mkuu, sio waziri kivuli marope. Hahahah WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuanzia Juni mosi mwaka huu, itakuwa ni marufuku kutengeneza, kuingiza, kuuza na kutumia mifuko ya plastiki kwa ajili ya kubebea bidhaa za aina yoyote na...
www.jamiiforums.com