Mwache aje na revised version ya thread ili tupate story next time. Watu wameuziwa hadi picha za maghorofa ya Posta sembuse picha ya mwanamke. Halafu hiyo picha katumiwa makusudi, mtu mwenyewe wala hayupo hivyo, ameidownload kutoka faces.com., si anajua ushiboy ndio ugonjwa wake!
Nimdada mrembo wa haja na mwenye sura ya kuvutia, kwa mujibu wa picture ambazo amekua akinitumi.
Huyu dada tulikutana kwenye moja ya social net, tukapendana na kukubaliana kuwa wapenzi pindi nitakaporudi huko Tz.
Leo baada ya kutoka kibaruani tukaanza kuchat kamakawaida, chaajabu akanitumi massege ya kuahidi kufika mapema ilikua ina maneno ya mahaba yakiambatana na shukrani kwa penzi (makatiko) alopewa.
Nilipo muuliza kuhusu hiyo massege, amekaa kimya na nikimpigia cm hapoke.
Hadi nalileta kwenu wadau, nimekosa usingizi na sijui lakufanya.
Ukiona manyoya.............
Pole sana, we songa mbele tu na life lako. Usije tu ukamuibukia na SMG mtoto wa watu kama wale wa pande za kule kwetu Moshi.
Hahaaa! Kumbe nawe wa kule.
Ukiona manyoya.............
Pole sana, we songa mbele tu na life lako. Usije tu ukamuibukia na SMG mtoto wa watu kama wale wa pande za kule kwetu Moshi.
...mkuu huyu jamaa hata manyoya hajayaona, kasikia mlio wa kuku tu basi anajipa hope siku wakija wageni atachinjwa teh teh...
Watatumiana mbegu kwa bluetooth...hahaaa, hi kali mkuu nimeipenda. Mnakutana online hata kuonana bado na mnaahidiana mambo kibao.
Mwisho wa ck mtafunga ndoa hukohuko online, sasa sijui watoto mtazaaje?
hapo bado hujamlala teyari unakosa usingizi,je ungemlala si ndio ungejiua kabisa? hakuna mapenzi kama hayo we ukifika bongo utawakuta wanawake wako kibao.
Nalog off