Roho inaniuma. Amekosea maessage akaituma kwangu.

Roho inaniuma. Amekosea maessage akaituma kwangu.

nimdada mrembo wa haja na mwenye sura ya kuvutia, kwa mujibu wa picture ambazo amekua akinitumi.
Huyu dada tulikutana kwenye moja ya social net, tukapendana na kukubaliana kuwa wapenzi pindi nitakaporudi huko tz.
Leo baada ya kutoka kibaruani tukaanza kuchat kamakawaida, chaajabu akanitumi massege ya kuahidi kufika mapema ilikua ina maneno ya mahaba yakiambatana na shukrani kwa penzi (makatiko) alopewa.
Nilipo muuliza kuhusu hiyo massege, amekaa kimya na nikimpigia cm hapoke.
Hadi nalileta kwenu wadau, nimekosa usingizi na sijui lakufanya.

acha kuparamia wake za watu
 
Haya mapenzi banah! Mi ndo mana nimeyapa likizo ya miaka8 ijayo ndo ntasumbuka nayo tena.
 
Back
Top Bottom