sawafi
Member
- Oct 25, 2013
- 27
- 11
Endelea kushikilia pembe wakati huo huo wenzako wanakamua maziwa.
Hiyo Kali.........duhh
Endelea kushikilia pembe wakati huo huo wenzako wanakamua maziwa.
we jamaa itakua wa ushirombo ! sasa demu hamjaonana unaumia kichwa ch nini? hebu ng'oa mtoto huko huko mbele.
aende hospital apate damu yenye HIV amvizie amchome halafu akimbie hiyo ni nzuri zaidi kuliko risasi m_sayi@yahoo.com
hapo bado hujamlala teyari unakosa usingizi,je ungemlala si ndio ungejiua kabisa? hakuna mapenzi kama hayo we ukifika bongo utawakuta wanawake wako kibao.
Nalog off
hahaaa, hi kali mkuu nimeipenda. Mnakutana online hata kuonana bado na mnaahidiana mambo kibao.
Mwisho wa ck mtafunga ndoa hukohuko online, sasa sijui watoto mtazaaje?
Nimdada mrembo wa haja na mwenye sura ya kuvutia, kwa mujibu wa picture ambazo amekua akinitumi.
Huyu dada tulikutana kwenye moja ya social net, tukapendana na kukubaliana kuwa wapenzi pindi nitakaporudi huko Tz.
Leo baada ya kutoka kibaruani tukaanza kuchat kamakawaida, chaajabu akanitumi massege ya kuahidi kufika mapema ilikua ina maneno ya mahaba yakiambatana na shukrani kwa penzi (makatiko) alopewa.
Nilipo muuliza kuhusu hiyo massege, amekaa kimya na nikimpigia cm hapoke.
Hadi nalileta kwenu wadau, nimekosa usingizi na sijui lakufanya.
ushauri huo tena hiyo itamtesa sana kuliko bastola unakufa dk 1 tuHuu kweli ushauri, mkuu!!!????
Simplicity ninaomba umshauri huyu....yale yale ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia akiwa abroad