Kuna vitu vinachekesha pacha unaweza dhania maigizo ujueHahahahahh
Nimecheka sana hapa kama mazuri eti
Polee asee
Hahaaa. Ama kweli wanaume wapo wa kila aina.Haki ya nani nimeumia mimi alichofanyiwa huyo dada.
Hahahhhahhh we acha tu twinnieKuna vitu vinachekesha pacha unaweza dhania maigizo ujue
Ila usawa huu sio aisee. Hadi 500 inarudiwa lolmkuu jiongeze basi suala liko wazi kabisa Jamaa ako alimiss mgegedo.... pili kwa jamaa ako kushindwa kupokea simu yako inaonesha wazi keshakuchoka na wewe kama mtu mzima anza kuwa na plan B kuanzia sasa.... kila la kheri
Hahaaa. Ama kweli wanaume wapo wa kila aina.
Yaani acha tu pacha.Hahahhhahhh we acha tu twinnie
Alafu cha ajabu story kaielezea kwa masikitiko ila nimejikuta nacheka sana
Hebu nitumie hela basi.Haki ya nani nimeumia mimi alichofanyiwa huyo dada.
Ukiwa na wa hivi mtu ahesabu tu hana mwanaume
Hebu nitumie hela basi.
![]()
![]()
![]()
![]()
Aisee. Kweli kabisa mkuu
We nitumie pesa mume wangu, acha maswali mengi.Aah kumbe wewe ndio Mama Pita?
We nitumie pesa mume wangu, acha maswali mengi.
Ohoooooo!! Nimefanya nini tena mpenzi?Me and you have unfinished business
Hakuna mwanaume hapo! Piga chini uangalie ustaarabu wako. Mtu unamwambia huna nauli lakini anakupotezea na papuchi umempa.

Taratibu basi emmy.... Mnatujumuisha sote...Yaani acha tu pacha.
Upande wa pili pacha nashangaa sana kila siku wanaume wanaponda kwamba wanawake tunapenda hela zao cha ajabu karibia wote wanamuonea huruma kwa kutokuachiwa hela.
Wanaume bana hawajuagi nini wanataka saa nyingine.