Roho imeniuma sana

hivi ingelikuwa kweli kwamba anaumwa alafu itokee kwamba hakuwa na hela ungemsaidia vipi katika issue za hospital?
 
Mimi si sapoti kitu hapo Mimi kama mwanamke sawa navojua unapokuwa katika mahusiano Na mtu wako sio kila ukikutana nae akupe pesa ujue nae binadamu unaweza kujikuta hana sizani kutokukupa hela nanimtu wako labda useme hakupendi pia wakati anakuita umekurupuka mwanamke jitaidi usikose ata 2000 tu kwa Pochi mfano ungekuta anaumwa kweli ungemuomba sawa mpaka anairudia 500 maana hana kitu Jamani kuwa Na mwanaume sio ndoawe kitega uchumi mfano anakuita upo home huna nauli mwambie baby but sina nauli ujue kama anayo atakwambiaje au anayo atakwambiaje bila mwanaume akiwa Wa kwako kula tunda lake sio mpaka alipe Jamani usingeondoka kwakuwa umemwambia kajibu poa upo kwake tulia msubilie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Mama Pita Kwann Usimwambie Pita Akuletee Pochi Yako Au Akutumie Pesa Iliyopo Kwenye Pochi Yako??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa amefanya vizuri sana. Umekwenda kumwona mgonjwa, ulimpelekea nini mfano, juice, dawa za kutuliza maumivu, nk.

Je eneo la mchezo mbona hukusema? Maana huenda hapo ndo tatizo lilipo.

Tatu, anataka kuona kama unaweza kuhandle difficult situations na bado upendo kwake ukabakia intact...



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie, pole sana mama pita.
Kwahiyo na miatano akairudia ahahahaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…