Rockstar games wanazirejesha gta 3, vice city na san andress november hii.

Inaonekana Umefurahii kupata hizo trilogy kuliko GTA6? Hizo trilogy story ni zile zile hamna jipya zaidi ya colour grading.
Rockstar wanaringa sana ukizingatia bado gta 5 inauza. Yaani ilitoka 2013 kwenye ps3, ilivyotoka ps4 wakaiweka pia. kwenye ps5 pia inafanya kazi.

Hata hii trilogy pia itauza sana mkuu gamer wa kitambo wanaielewa sana hasa vice city.
 
Lazima watafanya vizuri sana kwenye mauzo, hasa hio gta sa, one day nilikuwa nimekaa na jamaa yangu akasema hivi hivi kwa nini rockstar wasije remaster gta sa? pia wadau wengi sana waliomba gta sa irudishwe... Ni furaha iliyoje 😁..

Jamaa wametisha sana, asee naisubiri kwa hamu kubwa..
mimi naisubiri GTA vice city,hata hivo kuna tetesi kwamba kwenye GTA 6 kutakuwa na uwezo wa kutembelea miji ya vice na los santos kwa njia ya ndege
 
Rockstar wanaringa sana ukizingatia bado gta 5 inauza. Yaani ilitoka 2013 kwenye ps3, ilivyotoka ps4 wakaiweka pia. kwenye ps5 pia inafanya kazi.

Hata hii trilogy pia itauza sana mkuu gamer wa kitambo wanaielewa sana hasa vice city.
kabisa,vice city lazima niwe nayo hiyo
 
Rockstar wanaringa sana ukizingatia bado gta 5 inauza. Yaani ilitoka 2013 kwenye ps3, ilivyotoka ps4 wakaiweka pia. kwenye ps5 pia inafanya kazi.

Hata hii trilogy pia itauza sana mkuu gamer wa kitambo wanaielewa sana hasa vice city.
Wana push Gta V online, Gta V mara kwa mara wanalitoa bure.
 
GTA 6 hata nisipo ipata,
ujue mimi ni moja ya wale tuliocheza SEGA yale ya catridges una connect na tv na gameboy zile kuna catridge za super mario na luigi..
hio gta sa inatoka 2004/2005 nakumbuka nilikuwa nacheza ps1 ile yenye cd , nakumbuka mbali saana kipindi hicho gta sa kwa zile graphics tulikuwa tunaona ni kama maajabu :)

kwa kuweka rekodi sawa gta sa ndio game iliyouza zaidi kwenye ps2

naweza sema mimi ni gamer wa kitambo, gamer yeyote wa kitambo huwezi mueleza kitu kuhusu gta sa, gran turismo, final fantasy n.k
madogo wa gta V hawatojua utamu wa kumiliki memory card ya ps, gamer yeyote wa kitambo atakueleza memory card ilikuwa dili saana, yaani unacheza hata mission 20 kwa siku kama hauna MC ujue kesho unarudia, cheat codes unaanika kwenye karatasi, in short nimekumbuka mengi..

sasa hawa gamer wa sasa wataona gta sa ni ujinga kwa sababu wamekuta vitu vimeboreshwa lakini sisi tunajua hio game inakuja na historia ndefu mno
Wewe gamer wa x box nini???



Mimi nlilipenda saaaana nfs hot pirsuit aseee mpaka leo mimi naona ndo the second best game after most wanted
 
Zote tatu ndani ya cd moja zikiwa zimeboreshwa graphics mpyaa kwa ulimwengu wa sasa.


system requirements
  • OS: Windows 10 (probably 64 Bit)
  • RAM: 8 GB.
  • Processor/CPU: Intel Core i5-2700K / AMD FX-6300.
  • Graphics Card/GPU: NVIDIA GeForce GTX 760 2GB / AMD Radeon R9 280 3GB.
  • Storage space: 45 GB available space

Kwema boss,
Mie nataka ninunue game for my kids ila sina ujuzi sana kwenye hili maana mie nilicheza zile need 4 speed za kwy PC.

Nataka zile unit kama ma X Box au PSx sa sijajua ipi nzuri na ntapata games kibao na isitegemee internet connection sana kwa watoto kucheza....

Unaeza nipatia some details ipi bora, nzuri na haizingui na itapendeza kama ni kuagiza ukaniwekea hata ki link. Natanguliza shukran.... kwani naamini wajomba zako wakicheza kwy ile 65" watafurahi sana...ndo maisha haya haya boss.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom