Unasubiria GTA V? huenda ukahitaji PC mpya

Unasubiria GTA V? huenda ukahitaji PC mpya

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,280
Reaction score
44,418
Rockstar wametoa minimum requirements za GTA V kwa PC, hebu ziangalie kama computer yako itahandle hili game.

Minimum requirements
OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1, Windows Vista 64 Bit Service Pack 2* (*NVIDIA video card recommended if running Vista OS)
Processor: Intel Core 2 Quad CPU Q6600 @ 2.40GHz (4 CPUs) / AMD Phenom 9850 Quad-Core Processor (4 CPUs) @ 2.5GHz
Memory: 4GB
Video Card: NVIDIA 9800 GT 1GB / AMD HD 4870 1GB (DX 10, 10.1, 11)
Sound Card: 100% DirectX 10 compatible
HDD Space: 65GB
DVD Drive

Recomended system requirements
OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1
Processor: Intel Core i5 3470 @ 3.2GHZ (4 CPUs) / AMD X8 FX-8350 @ 4GHZ (8 CPUs)
Memory: 8GB
Video Card: NVIDIA GTX 660 2GB / AMD HD7870 2GB
Sound Card: 100% DirectX 10 compatible
HDD Space: 65GB
DVD Drive

Vitu vya kuangalia muhimu

1.inataka computer yenye 64 bit hivyo kama una 32bit hali itakuwa mbaya
2.hakuna mapenzi ya dual core 2015 watu wanataka quadcore
3.65 gb kama una mpango wa kulinunua jiandae kubeba dvd za kutosha na kuwa na space ya kutosha
4. game hili litachezwa hadi 4k na kusuport monitor 3, hapa xbox one na ps4 zinakuwa kama console za watoto

kwa specs hizi nafikiri jamaa wameamua kukomesha piracy.
 
Hawajakomesha tu piracy mkuu. yani navyojua hapa bongo pc nyingi ni za kawaida mno kiasi kwamba hata hio minimum requirement hazina

my take: wacheza game itabidi waanze kununua gaming laptops and desktops kama alienware ambazo mara nyingi model mpya hazishuki milioni mbili za tanzania
 
hawajakomesha tu piracy mkuu. yani navyojua hapa bongo pc nyingi ni za kawaida mno kiasi kwamba hata hio minimum requirement hazina

my take: wacheza game itabidi waanze kununua gaming laptops and desktops kama alienware ambazo mara nyingi model mpya hazishuki milioni mbili za tanzania

Nachomaanisha ni hicho hicho unachosema wewe mtu atakaetoa milioni kupanda kununua pc basi 60,000 ya kununua game haitamshinda
 
Hapo tatizo ni specification za vimeo vyetu, hizo requirements ni nzito

Hizo Gb sio tatizo sana ukikomaa nazo kwa tigo ya bundi au voda ya buku ndani ya wiki mzigo unakua tayari
 
Kama unapenda kitu basi utakigharamia tu. Kwa milioni 2 ya PC ndogo sana.

Mi si mpenzi sana wa games ila kama ningekuwa napenda kununua PC ya latest tech sio ishu kabisa.
 
alafu humu watu wanafiki sana kuna mshkaj alianza kubrag ana game kibao ameshusha nikamuomba ani pm nimende anicopie mzigo akaingia mitin! tujenge mazingira ya kusaidiana jaman
 
alafu humu watu wanafiki sana kuna mshkaj alianza kubrag ana game kibao ameshusha nikamuomba ani pm nimende anicopie mzigo akaingia mitin! tujenge mazingira ya kusaidiana jaman

Na kweli mkuu kusaidiana ndo kila kitu
 
Na kweli mkuu kusaidiana ndo kila kitu

kama mzigo we ulishusha tu free unaona uchungu gani kuwapa wengine ni bundle au ulikua unaongea tu kupata umaarufu na kutujazia server apa!!!
 
Sioni kinachomzuia mtu kununua parts na kuassemble PC yake mwenyewe..
Na si lazima hiyo i5 hapo, hata pentum g3258 $70 inasukuma games vizuri tu kama mtu ana GPU ya ukweli, kwa mtu asiye heavy gamer hata AMD GTX270 inamtosha kudrive games zote kwa at least 40+FPS 1080p.. 1M inatosha kabisa kuwa na PC itakayocheza games zote
 
g3258 ya ukweli ila siku hizi game zinaanza kueka minimum quadcore, hili ni la pili naliona. sasa sjui wanaeka kwenye makaratasi tu au ni kweli hayatakubali processor za dual core. sipati picha watu wenye laptop itakuwaje maana hadi i7 ni dual core
 
tatizo ni limitations tu, kama COD:Advanced Warfare walilimit, nlivoweka kwenye macine yenye g3258 ilikua inagoma inaandika CPU not supported pamoja na kua na gtx970.. watu walitengenza patch yake ya kuondoa hiyo restriction na ikawa inapiga mzigo vzr tu 60FPS+ na monitor ni 1440p.. manake ile restriction ni njia tu za hawa jamaa kufanya watu wa-upgrade ila sio kwamba hizi processor hazisukumi games... Sema ndo hvo mtu hawezi kukaa anasubiri patches kila muda kurn games ni bora tu kwenda na i5
 
Hivi hii GTA V ndo ile ile san andreas au? najua iMac yangu itapiga mzigo tu maana mwendo wa 8 gb ram 1 tera HDD i5 na 1 GB ya video memory itapiga mzigo tu fresh...labda iwe haipo kwenye mac
 
Gta 5 ni mpya sanandreas ni ya zamani sana hata pentium 4 inapiga
 
Gta 5 ni mpya sanandreas ni ya zamani sana hata pentium 4 inapiga

Maana nakumbuka 2004 niliipata hiyo san andreas ambayo nakumbuka iliandikwa gta5 kama sijakosea, kwaio kwneye hii mpya CJ bado yupo au wameweka mzungu
 
Maana nakumbuka 2004 niliipata hiyo san andreas ambayo nakumbuka iliandikwa gta5 kama sijakosea, kwaio kwneye hii mpya CJ bado yupo au wameweka mzungu

gta v ina charachter watatu na ni moja ya kitu ambacho kimefanya iuze sana sababu hata game linakuwa refu.

GTA-5-Characters-Trailer.jpg

wewe tu mwenyewe utaamua umkubali yupi
 
Wakuu tufahamishane tu ni hivi mimi nimecheza GTA V ya PS3 10 month now mpaka online kama ndio wanatoa ya pc kuna nini cha ziada au ni story inaendelea ilipo ishia Franklin kashirikiana na Michael kumua Trevor alfu baadae Franklin kumuaa Michael..Najua Graphic za PC zitakuwa nzuri lakini hata PS3 wanaupdate
 
Back
Top Bottom