Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
mzee mmoja aliamua kwenda kununuwa robot ambalo mtu akisema uongo linampiga kibao akalileta nyumbani kwake kwa mkewe na
mwanawe sasa katika kulifanyia jaribio akamwita mtoto wake ,akamuuliza wewe katika masomo yako ya hesabu umepata ngapi mtoto
kajibu 55 bac wacha achezee bao la uso ,baba akasema mie enzi zangu napata mia chini ya mia wacha nae apigwe bao na robot ,mtoto
akacheka sana akamwambia kumbe na wewe muongo mama akamwambia mwanawe we mtoto wee wamcheka baba ako kama hivyo bac
unaambiwa na yeye kibao >> bac hapo ugomvi ndio ulipoaanza !!!