Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,676
- Thread starter
- #21
Na analala na simu akiwa ana peruzi kurasa za JF, akiamka ana amka nayoMkiambiwa watanzania ni wavivu na hawapendi kazi mnaanza kulalamika, ona huyu mtu anatumia robo tatu ya siku nzima humu jf na robo iliyobaki anaitumia kulala. Acheni uvivu fanyeni kazi
