Roberto Mancini has been sacked by Manchester City

Roberto Mancini has been sacked by Manchester City

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,356
Habari ambazo zimezagaa ni kwamba Manchester City wanatarajia kumfukuza kocha wao wa sasa Roberto Mancini.

Nafasi yake inatarajiwa kuchukuliwa na kocha wa sasa wa Malaga, Manuel Pellegrini.

Jana Mancini alisema hakupendezwa na klabu ya Man City kutokanusha fununu kuwa atafukuzwa kazi.

Amebakia yule wa Arsenal tuu sasa.

UPDATE

14, May 2013:
Roberto Mancini amefukuzwa rasmi. Msaidizi wake Brian Kidd aakuwa in charge kwenye mechi mbili zilizobakia.

Roberto Mancini has been sacked as Manchester City manager after three-and-a-half years at the helm.

A statement said he "had failed to achieve any of the club's targets, with the exception of qualification for next season's Champions League".

Assistant Brian Kidd will take charge for the final two games of the season and the summer tour to America.

Malaga's Chilean coach Manuel Pellegrini has been strongly tipped to replace Mancini.

On Sunday night 59-year-old Pellegrini, who spent one season in charge at Real Madrid in 2009-10, insisted he was not about to become the new City boss.

"I deny here and now being the new coach of Manchester City, I haven't signed any agreement with anybody," he said after Malaga's goalless Primera Division draw with Sevilla.

City thanked Mancini for the job he had done, with chairman Khaldoon Al Mubarak saying: "Roberto's record speaks for itself, he secured the love and respect of fans.

"He has done as he promised and delivered silverware and success."

City added in their statement that it was "a difficult decision", explaining it was "the outcome of a planned end of season review process that has been brought forward in light of recent speculation."

The 48-year-old Italian replaced Mark Hughes in December 2009, winning the FA Cup in 2011 and City's first top-flight league title for 44 years in 2012 - a year to the day before his sacking.



http://www.bbc.co.uk/sport/0/football/22507128
 
Mancin hana mbinu mpya zaidi
wachezaji wanatumia uzoefu na
juhudi binafsi tu.
 
Kimenuka City? Mpira si pesa pekee, kuna mambo mengine kadhaa ambayo lazima yawepo ndipo ushindi (mafanikio)upatikane.
 
Roberto Mancini has been sacked by Manchester City after three and half years in the job.

Source: Skysports News.
 
wangemwachia amalize gemu ya mwisho
 
uwiiii yamekuwa hayo tena? man city man u nadhan watakuwa na wakati mgumu next season
 
That was expected,
Brian Kidd will take charge for City's remaining two games

Sheikh Khaldoon Al Mubarak has no mercy with a looser​
 
Ndo maana kuna tofauti kubwa kati ya timu za Manchester Utd, Arsenal, Everton na timu nyingine, hawana Chairmans, owners wenye uvumilivu na uaminifu uwezo wa makocha wanaowajiri. Hakuna timu inayoweza kubeba kombe kila mwaka. Hata Fergie mwenyewe ali suffer mwanzoni lakini aliaminiwa na mabosi wake. Wenger naye pamoja na kutobeba hata kikombe cha chai miaka 9 ana watu wanaoamini uwezo wake wa kujenga na kufundisha timu. Moyes mnamwona hajawahi kubeba kombe lakini uwezo wake ulikubaliwa na Fergie. Mancini angepewa muda zaidi kuendelea kufundisha hii timu.
 
Kimenuka City?

Yep, kafukuzwa rasmi sasa.

It is with regret that Manchester City Football Club announces that Roberto Mancini has been relieved of his duties as Manchester City Manager.

This has been a difficult decision for the owner, Chairman and Board to make and it is the outcome of a planned end of season review process that has been brought forward in light of recent speculation and out of respect for Roberto and his extensive contributions to the Football Club.

Despite everyone's best efforts, the Club has failed to achieve any of its stated targets this year, with the exception of qualification for next season's UEFA Champions League. This, combined with an identified need to develop a holistic approach to all aspects of football at the Club, has meant that the decision has been taken to find a new manager for the 2013/14 season and beyond.

Chairman Khaldoon Al Mubarak said: "Roberto's record speaks for itself and he has the respect and gratitude of Sheikh Mansour, myself and the Board for all of his hard work and commitment over the last three and a half years. He has clearly also secured the love and respect of our fans. He has done as he promised and delivered silverware and success, breaking the Club's 35-year trophy drought and securing the title in 2012. I would like to personally and publicly thank him for his dedication to the progress that he has overseen and for his support and continued friendship."


Assistant Manager Brian Kidd will take interim responsibility for the remaining two games of the season and the post-season tour to the United States.

Official MCFC club statement - Manchester City FC
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Roberto-Mancini-008.jpg

The Manchester City manager, Roberto Mancini, leaves the Wembley pitch after his team lost 1-0 to Wigan in the FA Cup final.
 
Wigan ndio wamemsababishia mancin matatizo yote haya.

Hata bila ya Wigan huyu jamaa ilikuwa wanamtimua tu. Walishaanza kutafuta kocha mwingine siku nyingi.
City nao wasipoangalia watakuwa kama Chelsink, kutimua makocha kama kubadilisha mashati.
 
Roberto mancin ametimuliwa kaz na manchester city!Hii ni baada ya kushindwa kuiongoza timu na kutofikia malengo waliyojiwekea km 1.kufanya vzr kwenye CL!walitolewa kwenye hatua za makund wakiwa nfc ya 4.2.kutetea ubingwa wa EPL wamemaliza nfs ya 2.3,kupata angalau trophy 1 n.k!Kitu pekee alichofanikiwa ni kupata nafas ya CL next season... source;Goal.com
 
Next season ManU,ManCity na Chelsea zitakuwa na makocha wapya
 
Back
Top Bottom