Roberto Mancini has been sacked by Manchester City

....bado babu wetu pale kwa washika bunduki

Yule babu haendi popote. Anawapatia pesa ya kutosha wenye timu.

Nyie mashabiki bora mkanunue vikombe sokoni.

Nasikia Wigan wapipita pale kuomba kabati tupu la kuhifadhi kikombe chao kipyaaa.

naona msimu ujao nyota ya arsenal inawaka kwa mbaaali .

Msimu ujao Asenali na liverpool hawatakuwa tena na excuse. Mshindwe wenyewe tuu.
 
hii badilibadili na timua ya makocha epl itatufaidisha zaidi man utd!kama city wangemuacha mancini mwakani wangeweza kuwa mbele yetu!
 
Yule babu haendi popote. Anawapatia pesa ya kutosha wenye timu.

Nyie mashabiki bora mkanunue vikombe sokoni.

Nasikia Wigan wapipita pale kuomba kabati tupu la kuhifadhi kikombe chao kipyaaa.

Msimu ujao Asenali na liverpool hawatakuwa tena na excuse. Mshindwe wenyewe tuu.

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha du mashabiki wakanunue vikombe madukani du.....
 
Back
Top Bottom