Robert Mugabe says he will propose to Barack Obama

1) Ina maana Robert Mugabe naye ni gay?

2) Kuna audio au video ya hicho anachodaiwa kukisema?

3) Kwenye mitandao yeyote yule anaweza kutengengeza nukuu yoyote ile, hivyo, mimi binafsi siamini kuwa kasema hivyo mpaka nitakaposikia yeye mwenyewe akisema hivyo au nitakapoona yeye anasema hivyo.
 
Mzee Taifa lake masikini amekalia ubabe wa mdomoni tu kama muimba taarabu ana reject white people wakati ndo wanaendesha ulimwengu hata Haimsaidi badala yake inamkandamiza tu
id85316f24ddc077f9ab56fa4780c87ea.jpg
Huyu wakutumia drone tu mpaka kwenye kibanda chake

Hata ww ni mshabiki wa jinsia moja duuh
 
Duu....babu mgabe bado yuko fiti
kuendeleza harakati za mtu mweusi.
Naomba tamko la "WATU WA MAREKANI".
 
Last edited by a moderator:
1) Ina maana Robert Mugabe naye ni gay?

2) Kuna audio au video ya hicho anachodaiwa kukisema?

3) Kwenye mitandao yeyote yule anaweza kutengengeza nukuu yoyote ile, hivyo, mimi binafsi siamini kuwa kasema hivyo mpaka nitakaposikia yeye mwenyewe akisema hivyo au nitakapoona yeye anasema hivyo.

anaongea hivyo kumbeza Obama, kwakuwa Mugabe huwa anapinga waziwazi mapenzi ya jinsia moja. Alishawahi kutamka kuwa ataruhusu tu ushoga nchini kwake ikiwa waziri mkuu wa UK bw.Cameroon, atakubali kuolewa naye na kumzalia mtoto. Akasema atatuma posa kwa familia ya Cameroon..... ni katika kuwabeza wazungu ktk huo ujinga
 
Wale ni watani mke wa obama kwao zimbabwe so wanajuana si kunasiku mugabe alikua anadai mali kwa obama kwajili ya mke wa obama

Lakini hapo sio issue ya utani! Mugabe anapinga waziwazi mapenzi na ndoa za jinsia moja...so hapo anamkebehi Obama baada ya USA kupitisha ndoa za jinsia moja rasmi (sina uhakika km ni nchi nzima au kwenye baadh ya states). Alishawahi kumbeza pia Cameroon wa UK
 
Mzee Taifa lake masikini amekalia ubabe wa mdomoni tu kama muimba taarabu ana reject white people wakati ndo wanaendesha ulimwengu hata Haimsaidi badala yake inamkandamiza tu
d85316f24ddc077f9ab56fa4780c87ea.jpg
Huyu wakutumia drone tu mpaka kwenye kibanda chake

kwahiyo wewe unasapoti huo ushetani wa kishoga ambao akina Obama wanaushabikia! khe!
 
Hata ww ni mshabiki wa jinsia moja duuh

Sasa kama wanakuongoza na kukupangia uishi vp yani wanapanga bajeti na misaada kibao mnapokea (marekani) ww tz utaweza kweli kupinga?? tuendelee kukataa midomoni but time will tell

Kingine am not a homesexual mimi ni heterosexual so siko attracted na people wa same gender na mimi Hio ndo sexuality Yangu we unadhani kuwa homo au biosexual nikupenda unauelewa na masuala ya hormone?!?
 
kwahiyo wewe unasapoti huo ushetani wa kishoga ambao akina Obama wanaushabikia! khe!

Hata ukikataa je una nguvu ya kupinga?? je mambo haya hayafanyiki ktk jamii zetu? Je anal sex ambayo kwa sasa ina kidhiri na kushamiri kwa kasi ya ajabu imezuilika? nadhani hii ni Free universe kama mtu havunji sheria haina haja kumpangia aishi vipi
 
anaongea hivyo kumbeza Obama, kwakuwa Mugabe huwa anapinga waziwazi mapenzi ya jinsia moja. Alishawahi kutamka kuwa ataruhusu tu ushoga nchini kwake ikiwa waziri mkuu wa UK bw.Cameroon, atakubali kuolewa naye na kumzalia mtoto. Akasema atatuma posa kwa familia ya Cameroon..... ni katika kuwabeza wazungu ktk huo ujinga

Kuna audio au video ya yeye akiongea hivyo?
 
Hata ukikataa je una nguvu ya kupinga?? je mambo haya hayafanyiki ktk jamii zetu? Je anal sex ambayo kwa sasa ina kidhiri na kushamiri kwa kasi ya ajabu imezuilika? nadhani hii ni Free universe kama mtu havunji sheria haina haja kumpangia aishi vipi

yaan kisa jambo linafanyika kwenye jamii zetu kama ni baya ndo lisipingwe?? ni mangapi mabaya yanafanyika toka enzi na tumeshindwa kuyazuia kabisa, lakini tunaendelea kuyapinga? na tutaendelea kuyapinga? mf issue za drugs? na kuhusu ushoga ndo umehalalishwa huko marekani na baadhi ya nchi za ulaya bt sehemu zingn km Urusi, nchi nyingi za Asia, Africa ni illegal.
 
Sasa kama wanakuongoza na kukupangia uishi vp yani wanapanga bajeti na misaada kibao mnapokea (marekani) ww tz utaweza kweli kupinga?? tuendelee kukataa midomoni but time will tell

Kingine am not a homesexual mimi ni heterosexual so siko attracted na people wa same gender na mimi Hio ndo sexuality Yangu we unadhani kuwa homo au biosexual nikupenda unauelewa na masuala ya hormone?!?

hakuna cha hormone wala nini, ni mapepo tu! Ina maana Mungu ni kigeugeu, yaan katika kukuumba akuzidishie hormone za kike wakati wewe ni mwanaume halafu hapohapo aseme ushoga ni dhambi na laana????? basi isingekuwa dhambi.

labda unambie kwakuwa shetani pia ana uwezo, labda yeye ndo aziongeze ndani ya mtu ili awe shoga....lakini for sure Mungu na utakatifu wake hawezi kumtega mwanadamu, kwa kumuumba nazo nyingi ili awe gay then amuhukumu jehanam
 
Nilimshamngaa sana Obama kukubali hili jambo lipite kwenye utawala wale.
Ndo hivo tena dunia ya mwisho binaadam atamkufuru sana Mola wake.

Note
Kuliumbwa Adam na Hawa.wakaingiliana wakapata kizazi.
Na sio
Adam na Joseph.
 
Kuna audio au video ya yeye akiongea hivyo?

mh! tafuta tu utapata. Mimi nilisoma kwenye page ya yahoo, kuna mwngn akasema yeye alisikia kwenye hizi FM radio watangazaji wakichomekea kiaina ktk utani wa hapa na pale
 
hakuna cha hormone wala nini, ni mapepo tu! Ina maana Mungu ni kigeugeu, yaan katika kukuumba akuzidishie hormone za kike wakati wewe ni mwanaume halafu hapohapo aseme ushoga ni dhambi na laana????? basi isingekuwa dhambi.

labda unambie kwakuwa shetani pia ana uwezo, labda yeye ndo aziongeze ndani ya mtu ili awe shoga....lakini for sure Mungu na utakatifu wake hawezi kumtega mwanadamu, kwa kumuumba nazo nyingi ili awe gay then amuhukumu jehanam

Mungu mwenyewe ni complex theory usiingize apa maana nikikuliza dhumuni la kumuumba nguruwe hali ya kuwa anadai ni haramu utajibu? kwann wengine wanakula hiki wengine hawali hiki usingize mambo ya mungu dhaifu hapa tujadili bila imani tutaenda sawa
 
yaan kisa jambo linafanyika kwenye jamii zetu kama ni baya ndo lisipingwe?? ni mangapi mabaya yanafanyika toka enzi na tumeshindwa kuyazuia kabisa, lakini tunaendelea kuyapinga? na tutaendelea kuyapinga? mf issue za drugs? na kuhusu ushoga ndo umehalalishwa huko marekani na baadhi ya nchi za ulaya bt sehemu zingn km Urusi, nchi nyingi za Asia, Africa ni illegal.

Mkuu madawa yanatoa effect hatarishi na kuzoletesha nguvu kazi ya taifa ambalo ni vijana je ushoga pia uko ivo?
 
Mungu mwenyewe ni complex theory usiingize apa maana nikikuliza dhumuni la kumuumba nguruwe hali ya kuwa anadai ni haramu utajibu? kwann wengine wanakula hiki wengine hawali hiki usingize mambo ya mungu dhaifu hapa tujadili bila imani tutaenda sawa

Unasema Mungu dhaifu!!? ....aisee sina cha kujadilina na wewe.
 
Huyu mzee angekaa kimya angeonekana ana busara sana.
 
Mungu mwenyewe ni complex theory usiingize apa maana nikikuliza dhumuni la kumuumba nguruwe hali ya kuwa anadai ni haramu utajibu? kwann wengine wanakula hiki wengine hawali hiki usingize mambo ya mungu dhaifu hapa tujadili bila imani tutaenda sawa

Kwani wapi imesemwa nguruwe aliwe?
 
Back
Top Bottom