Robert Mugabe says he will propose to Barack Obama

Robert Mugabe says he will propose to Barack Obama

Unajua bora tuwe wakweli.inasemekana hapa tanzania kuna wanaume ni mashoga.na nchinyingine tanzania.sasa nadhan kwa uelewa wangu wenzetu wamarekan wameamua kuwaachia kabisa waoane kulikon sis tunaofanya kwakujificha.pia kama bangi kina nchi kama jamaica.uruguay.cololmbia inavutwa kama sigara ya kawaida.ila bongo bado ni haramu.sasa ubaya ni upi na uzur ni upi.?nimawazo yangu tu[/QUO

unaonekana kupenda sana kuingizwa nyuma kwani na wewe ni shoga, nauliza tu
 
Africa tuna Rais mmoja tu Mugabe, na vile siku zake zinaenda ukingoni sidhani kama Afrika itapata tena Rais wa aina yake. !

Africa tuna Mugabe, Asia wana Putini.!

Putin yupo ulaya mashariki na sio Asia
 
Africa tuna Rais mmoja tu Mugabe, na vile siku zake zinaenda ukingoni sidhani kama Afrika itapata tena Rais wa aina yake. !

Africa tuna Mugabe, Asia wana Putini.!

Umeongea kweli kutoka moyoni hakuna Rais aliye mzalendo kama Mzee Mugabe na laiti kama hizo nchi za ulaya zisingembania uchumi wallah leo Zimbabwe ingeilisha Africa amini hivyo.
 
Africa tuna Rais mmoja tu Mugabe, na vile siku zake zinaenda ukingoni sidhani kama Afrika itapata tena Rais wa aina yake. !

Africa tuna Mugabe, Asia wana Putini.!

afrika kuna Mugabe na Kagame.... wengine waliobaki siasa tu
 
africa tuna rais mmoja tu mugabe, na vile siku zake zinaenda ukingoni sidhani kama afrika itapata tena rais wa aina yake. !

Africa tuna mugabe, asia wana putini.!

inaonyesha ujuha wako urusi haiko asia.
 
Unajua bora tuwe wakweli.inasemekana hapa tanzania kuna wanaume ni mashoga.na nchinyingine tanzania.sasa nadhan kwa uelewa wangu wenzetu wamarekan wameamua kuwaachia kabisa waoane kulikon sis tunaofanya kwakujificha.pia kama bangi kina nchi kama jamaica.uruguay.cololmbia inavutwa kama sigara ya kawaida.ila bongo bado ni haramu.sasa ubaya ni upi na uzur ni upi.?nimawazo yangu tu

Na wewe unataka kuwa shoga au tayari unataka kuolewa?
 
Huyu nae, instead of worrying about the difference between Zimbabwean dollar and American Dollar he's sniffing on American internal affairs......OVYO!

mbona umemaind sn asee ama na ww ndio miongoni mwao nn????
unaogopa mugabe atakutolea posa????
 
mbona umemaind sn asee ama na ww ndio miongoni mwao nn????
unaogopa mugabe atakutolea posa????

.....tatizo sio kuogopa Mugabe kunitolea posa (FYI am a woman)
Tatizo ni kutolewa posa na kiumbe kama kile!
Halafu pilipili iliyo shamba sijui yawawasha nini!
 
kiswahili sanifu atakuwa BASHA!,kuna tofauti kubwa!

Hakuna tofauti yoyote, wanaume wawili mpo uchi mmejifungia mlango mpaka asubuhi, ukitoka humo utajisifu wewe kidume kweli? Watu watajuaje kama na wewe ujakazwa? Kwanza hizo ndoa za mashoga unazosikia, kila mmoja anamwita mwenzake husband, hakuna wife hapo.
 
Obama ni Rais mwenye asili ya Afrika lakini amelitia doa bara hili .
Hata hivyo Haijulikani nini kimemfanya aunge mkono mahanatha haya ila inawezekana ni njia moja ya kuliangamiza kwa makusudi taifa hilo....ana damu ya Hussein hivyo njia laini nyepesi ni kurusu maboga kuoana hivyo kuua kizazi cha usa siku zijazo
 
Back
Top Bottom