Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,841
- 33,526
Africa tuna Rais mmoja tu Mugabe, na vile siku zake zinaenda ukingoni sidhani kama Afrika itapata tena Rais wa aina yake. !
Africa tuna Mugabe, Asia wana Putini.!
well said mkuu,wengine wote chai ya rangi.
