Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Mpe mkeo atakurudishia majibu.
teh!teh!teh!teh!teh!,Mzee kwa Umri na Siyo juu ya mambo ya ndoa,wanaume hapo hatuzeekagi ndio kisa cha kale kausemi,Ng'ombe hazeeki maini.
Mpe mkeo atakurudishia majibu.
.....tatizo sio kuogopa Mugabe kunitolea posa (FYI am a woman)
Tatizo ni kutolewa posa na kiumbe kama kile!
Halafu pilipili iliyo shamba sijui yawawasha nini!
Obama ni Rais mwenye asili ya Afrika lakini amelitia doa bara hili .
Hata hivyo Haijulikani nini kimemfanya aunge mkono mahanatha haya ila inawezekana ni njia moja ya kuliangamiza kwa makusudi taifa hilo....ana damu ya Hussein hivyo njia laini nyepesi ni kurusu maboga kuoana hivyo kuua kizazi cha usa siku zijazo
Hakuna tofauti yoyote, wanaume wawili mpo uchi mmejifungia mlango mpaka asubuhi, ukitoka humo utajisifu wewe kidume kweli? Watu watajuaje kama na wewe ujakazwa? Kwanza hizo ndoa za mashoga unazosikia, kila mmoja anamwita mwenzake husband, hakuna wife hapo.
Hivi sanifu au fasaha? Najiuliza kimoyomoyo.
Putin Yupo pia Asia Kaskazini zingatia kwamba hiyo Russia ipo kati ya Ulaya Mashariki na Asia Kaskazini.,sawa!
Unajua bora tuwe wakweli.inasemekana hapa tanzania kuna wanaume ni mashoga.na nchinyingine tanzania.sasa nadhan kwa uelewa wangu wenzetu wamarekan wameamua kuwaachia kabisa waoane kulikon sis tunaofanya kwakujificha.pia kama bangi kina nchi kama jamaica.uruguay.cololmbia inavutwa kama sigara ya kawaida.ila bongo bado ni haramu.sasa ubaya ni upi na uzur ni upi.?nimawazo yangu tu
.....tatizo sio kuogopa Mugabe kunitolea posa (FYI am a woman)
Tatizo ni kutolewa posa na kiumbe kama kile!
Halafu pilipili iliyo shamba sijui yawawasha nini!
WANAITA USHOGA/NDOA ZA JINSIA MOJA ILI KUPUNGUZA MAKALIRais wa Zimbabwe Robert Mugabe
Robert Mugabe ameukejeli uamuzi wa Marekani
kuhalalisha ndoa za mashoga katika majimbo yote 50
kwa kuahidi kusafiri hadi White House na
kumchumbia Barack Obama.
Wakati wa mahojaino ya kila wiki na kituo cha redio
cha taifa, rais wa Zimbabwe alitania kwamba
amepanga kwenda Washington DC kupiga goti moja
na kuomba kumchumbia.
Rais Barack Obama wa Marekani
Mugabe, ambaye anajulikana kwa kupinga vikali
mahusiano ya jinsia moja, alikuwa akijibu kuhusiana
na marekebisho ya kifungu cha 14 cha Marekani.
Katiba inawahakikishia mashoga na wasagaji kuwa
na haki sawa kuoana kama walivyo watu wengine.
Mahakama Kuu ya Marekani
Akizungumzia hilo siku ya Jumamosi, Mugabe
alisema: "Nimeshahitimisha – kuwa tangu Rais
Obama aidhinishe ndoa za jinsia moja, kutetea watu
mashoga na kufurahia kukubalika –kama vile ni
jambo la lazima, nitasafiri hadi Washington, DC,
kumchumbia.
WANAITA USHOGA/NDOA ZA JINSIA MOJA ILI KUPUNGUZA MAKALI
ULE NI U.S.E.N.G.E TU;HAKIKA MAREKANI NI TAIFA LA K.I.S.E.N.G.E....... iko katika maandiko.
Haya sasa na ukienda ulaya ukimuliza raia wa huko Tanzania ipo bara gani hajui ilipo
teh teh teh teh...mimi nilikuwa naongelea matumizi ya maneno hayo mawili!..hayo ya kuwa uchi mkajifungia mlango hadi asubuhi na mkitoka watu watajuaje,hayo yenu sasa wenye fani zenu!
cheki kwenye maono ya daniel..............kitabu gani mkuu na mstari wa ngapi unasema marekani ni taifa la kisenge?
huyu ni msomi aliyetukukawanajamvi kama kuna mwenye cv ya mugabe tupeane kwasababu anaonekana kuwa ni comedian hivi achilia mbali mdororo wa uchumi alionao! Mugabe anacheza kisengeri karibu na mzinga wa nyuki.
Mugabe nadhali kala watotp wakali kuliko wewe ambao nadhani hata theluthi yao hufikii alafu unasema kile kiumbe. angalia remi ongala,wasira wana sura mbaya ila wana wanawake ambao wewe hufikii hata robo yao. wanawake wa humu mnajifanya wajanja wakati mna sura mbaya sana na hamuuziki uraiani alafu mnajifanya hapa eti kile kiumbe wakati wewe mwenyewe uko kama kiazi hueleweki wapi nyuma wapi mbele.
Huyu nae, instead of worrying about the difference between Zimbabwean dollar and American Dollar he's sniffing on American internal affairs...