Robert Mugabe says he will propose to Barack Obama

Robert Mugabe says he will propose to Barack Obama

Huyu mzee angekaa kimya angeonekana ana busara sana.
Mkuu Bavaria kwani hapo ujinga wake ni nini!!? Mugabe msimamo wake juu ya mapenzi ya jinsia moja unajulikana Duniani kote. Hii kauli yake ni kebehi tu kwa wamarekani kuonyesha kukerwa ni jambo hilo. Haina maana kwamba anataka kumuoa kweli.
 
Last edited by a moderator:

Hayo mambo yametokea marekani, mugabe kwake zimbabwe. Kulikuwa na haja gani kusema maneno hayo wakati hata marekani haijawashinikiza kukubali ushoga?
 
Sasa kama wanakuongoza na kukupangia uishi vp yani wanapanga bajeti na misaada kibao mnapokea (marekani) ww tz utaweza kweli kupinga?? tuendelee kukataa midomoni but time will tell

Kingine am not a homesexual mimi ni heterosexual so siko attracted na people wa same gender na mimi Hio ndo sexuality Yangu we unadhani kuwa homo au biosexual nikupenda unauelewa na masuala ya hormone?!?

Kwa hiyo kama ni mwanaume halafu hormone zikawa za kike suluhisho ni kusuguliwa? Na kama kusuguliwa kipi kitasuguliwa, jibu ni moja sehemu ambayo hairuhusiwi, pinga ushoga na ndoa za jinsi moja.
 
Kwa hiyo kama ni mwanaume halafu hormone zikawa za kike suluhisho ni kusuguliwa? Na kama kusuguliwa kipi kitasuguliwa, jibu ni moja sehemu ambayo hairuhusiwi, pinga ushoga na ndoa za jinsi moja.

Hairuhusiwi na nani?
 
Nilimshamngaa sana Obama kukubali hili jambo lipite kwenye utawala wale.
Ndo hivo tena dunia ya mwisho binaadam atamkufuru sana Mola wake.

Note
Kuliumbwa Adam na Hawa.wakaingiliana wakapata kizazi.
Na sio
Adam na Joseph.[/QUOTE\] Au Adam na Juma
 
Kwa hiyo kama ni mwanaume halafu hormone zikawa za kike suluhisho ni kusuguliwa? Na kama kusuguliwa kipi kitasuguliwa, jibu ni moja sehemu ambayo hairuhusiwi, pinga ushoga na ndoa za jinsi moja.

Hairuhusiwi na nani?

tayari ana mume ambae ni mshua ni kinyume kutaka mke wa mtu
Mnyenzi hapo kwenye red ametumia neno "Isiyoruhusiwa" wewe umehoji "Hairuhusiwi na nani" nikakuambia kuwa wewe unaweza kumuoa hata mama yako ukajibu kuwa"ni kinyume kutaka mke wa mtu" sasa mimi nataka kujua kuwa ni kinyume na nini ikiwa umehoji nani asiyeruhusu kuingiliana kinyume na maumbile?
 
Last edited by a moderator:
Utani huu ni mzuri sana na upo mahali pake.Mugabe anachofanya hapa ni kupeleka message kwa Obama, kwamba kama wewe unashabikia wananchi wako wa jinsia moja waoane,basi lead by example,anza wewe ili uwe mfano kwao.Usiwabebeshe mzigo wenzio ambao wewe huwezi kuubeba.
Wanabody,
Salaam..!

Sijaingia huku kitambo sana,nimekutana na hii habari nikaona niilete huku. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe,anataka kumuoa mwenzie wa Marekani Barrack Obama baada ya Mahakama kuu nchini marekani kuidhinisha ndoa za jinsia moja nchi nzima.

My take;Robert Mugabe ana utani wa ngumi huyu mzee,sijui huwa anajiamini nini!!?

Source;BBC-SWAHILI
 
Back
Top Bottom